Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

pouwa kuanzia leo usinishobokeeee kabisa toka huko mwanaume bahili utafikiria vikoba .... i love ilove huku unalia njaaa... mapenzi na njaa hapa mnaaa

Ntakupa kitu roho inapenda iwe unataka au hutaki sababu ni wajibu wangu
Kuoenda mahela aka mapesa kama mpesa plz give me break nikupe mihela ufanyie nn na kila kitu unapata?
 
Ntakupa kitu roho inapenda iwe unataka au hutaki sababu ni wajibu wangu
Kuoenda mahela aka mapesa kama mpesa plz give me break nikupe mihela ufanyie nn na kila kitu unapata?

okey kitu roho yangu inapenda ni pesa
 
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI

#team RAFIKI ni nini?(origin ya #team RAFIKI ) .#team RAFIKI ni matokeo ya uhitaji wa timu ya marafiki wanaoshauriana na kupeana mikakati mbalimbali inayodumisha amani,upendo na maadili hapa jamhuri ya MMU na cc(chit chat) so lengo la kuanzishwa kwake ni kupeana ushauri katika mambo mbambaliya kimaisha pamoja na kuongeza urafiki wetu members wa jamiiforums cause tunaamini jf ni means tu ya kukutana lakini urafiki wa kweli upo au unatokea mahali popote.

Nani anaweza kuwa #team RAFIKI ??
Kwa ufupi kila mtu anaweza kuwa #team RAFIKI coz lengo kuu ni kudumisha urafiki wetu and nothing else so far kuna senior member na junior members wa #team rafiki nitawataja kwa ujumla wao bila ya ku classify yupi yupi ni yupi ukiacha co—founder Mndengereko na bw. utafitti member wengine ni miss chagga mwallu Ntuzu Mr Rocky Ntuzu Mokoyo miss nedy Mentor Heaven on Earth @ Tized kukucd Lady niece Sungura 1980
(kama kuna mwingine nimemsahau naomba kukumbushwa tafadhali)

updates: newest member: J.lee atug HHHK Dinazarde @karucee


So nyooooooote mnakaribishwa katika #team RAFIKI .
Pia ukiwa na swali au lolote la kuchangia unakaribishwa katika uzi huu pia kama kuna chochote ambacho nitakuwa nimekisahau members wenzangu watanisaidia kurekebisha au kuongeze,naomba kuwasilisha

CC : Nicas Mtei , mwekundu



Ninajiunga vp
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Karibuni sana gfsonwin na kiwatengu muingie na viatu tafadhali huku hakuna ugeni ni sehemu ya marafiki na urafiki haupimwi kwa muda ila kutoa na kupokea kwa wahusika!!!!!!!!!

M delighted to have you around!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom