excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
nahisi una matatizo ya kisaikolojia
nisiendelee kupoteza muda wangu
na mtu asiyeeleweka
na hilo limetoka wapi sasa!!
mbona umeulizwa swali kwa picha.. '' ae you lonely''?
sasa hapo kuna tatizo la saikolojia?
kwanza unaijua saikolojia wewe au umemeza tu...! siku nyingine uwaze kabla hujaongea..