Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

good.. sasa ona huyu nae alivyojibu hapa!! sijui kapeleka wapi akili!!





hivi wewe uliwaza kwamba nimekutongoza kwa kukuuliza are you lonely??

ulielewa manake au ulikurupuka tu na kuropoka huu ujinga ulioandika??

do you know psychological problems you woman?

aisee dont provoke me again....!!!


:bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored::bored:
 
haya mi nitaanza kindengereko course labda mwezi wa sita nikijua kidogo nitakuja kukufunza walau cha kuombea chai

Mi cha kuombea maji nakijua mwenzio, nashukuru baba alikuwa ananiongelesha mara kwa mara. Ila utapoenda course nambie nikuagize mpunga wa Rufiji.
 
Mi cha kuombea maji nakijua mwenzio, nashukuru baba alikuwa ananiongelesha mara kwa mara. Ila utapoenda course nambie nikuagize mpunga wa Rufiji.


hahahah usijali i will let you know.
 
nitamsalimia kwani ameshalala hapa
kwani amechoka amefanya kazi nyingi za uelimisha rika

i!!msalimie shem Mndengereko!![/QUOTE]
 

#TeamBazazi ni timu dume. Wake zetu ni #TeamRafiki . Baba Hakimbii majukumu bali anayakabili. Baba hajitambulishi bali majukuzu humtambulisha.

Tuko tayari kulea mimba yoyote ya TEAMRafiki.
KakaKiiza, Rogie, mwekundu, Nicas Mtei, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom