Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Na mm napenda niwe member wa team rafiki
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU, teacher is calling you.

Mamy Karucee...............present
Hii ilikuwa inataka kupitaje kituo ya umasaini bila kuuliza kama kuna anayepanda au anayeshuka!!!!!??????
Wewe Mndengereko huu udereva wa kupita vituoni wima ni juu ya nini???????? Ntuzu wewe ni rafiki wa kweli sana aseee!!!!!!

Will be back after a commercial break!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kwani urafiki wa teamrafiki ni kwa senior experts tu?? i thought you are friends even to children!

hahhaaaa!! ni marufuku kutaja LOVE katika team yenu eenh!!?
Excel, umeniganda sana. Naomba nikupeleke chamber mara moja cha fasta!
 
Mamy Karucee...............present
Hii ilikuwa inataka kupitaje kituo ya umasaini bila kuuliza kama kuna anayepanda au anayeshuka!!!!!??????
Wewe Mndengereko huu udereva wa kupita vituoni wima ni juu ya nini???????? Ntuzu wewe ni rafiki wa kweli sana aseee!!!!!!

Will be back after a commercial break!!!!!!!!

niwie radhi mkuu ,nilighafirika ndo narudi reverse sasa so jiandae tunakuja kukuchukua.
 
Back
Top Bottom