Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Honey Faith mambo? Mbona unapotea hivyo?
Mie nipo my brother sema we ndo sikuoni nikadhani umeenda kula michembe
Last edited by a moderator:
Honey Faith mambo? Mbona unapotea hivyo?
naomba kuwa memba wa team rafiki
tangu siku nyingi mkuu. mi ni mtu safi!!
Linalokutiza linafanyiwa kazi.ana mke mmoja tu shansarie.la udaku undo tutasovu....usijali sawa ee
Mkuu kiwatengu karibu sn ktk teamRafiki
Kuanzia Leo namtangaza ndugu yetu kiwatengu kua na mmoja Wa teamRafiki!
Cc: utafiti Mndengereko Mr Rocky Tized sungura1980 Mokoyo mwallu miss neddy miss chagga Heaven on Earth charminglady Mentor Karucee OLESAIDIMU na wengine wote ambao sijawaandika
Usafi na UDAKU haviendani mkuu..
Nami nangojea mai waifu..
halafu unajua jinsi ambavyo umenichoesha mahindi lakini? #nasemaTU ama leo sio ile siku ya kukutanika kwa ibada?