Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

yaani huyu Asprini anatafuta matatizo makubwa sana
anasema nini etiii kuwa sisi teamrafiki ni.................. wao?
hebu rudia sentensi hii tena
 
Last edited by a moderator:
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI

#team RAFIKI ni nini?(origin ya #team RAFIKI ) .#team RAFIKI ni matokeo ya uhitaji wa timu ya marafiki wanaoshauriana na kupeana mikakati mbalimbali inayodumisha amani,upendo na maadili hapa jamhuri ya MMU na cc(chit chat) so lengo la kuanzishwa kwake ni kupeana ushauri katika mambo mbambaliya kimaisha pamoja na kuongeza urafiki wetu members wa jamiiforums cause tunaamini jf ni means tu ya kukutana lakini urafiki wa kweli upo au unatokea mahali popote.

Nani anaweza kuwa #team RAFIKI ??
Kwa ufupi kila mtu anaweza kuwa #team RAFIKI coz lengo kuu ni kudumisha urafiki wetu and nothing else so far kuna senior member na junior members wa #team rafiki nitawataja kwa ujumla wao bila ya ku classify yupi yupi ni yupi ukiacha co—founder Mndengereko na bw. utafitti member wengine ni miss chagga mwallu Ntuzu Mr Rocky Ntuzu Mokoyo miss nedy Mentor Heaven on Earth @ Tized kukucd Lady niece Sungura 1980
(kama kuna mwingine nimemsahau naomba kukumbushwa tafadhali)

updates: newest member: J.lee atug HHHK Dinazarde @karucee

So nyooooooote mnakaribishwa katika #team RAFIKI .
Pia ukiwa na swali au lolote la kuchangia unakaribishwa katika uzi huu pia kama kuna chochote ambacho nitakuwa nimekisahau members wenzangu watanisaidia kurekebisha au kuongeze,naomba kuwasilisha

CC : Nicas Mtei , mwekundu

Na mimi umenisahau mdau:wink2:
 
Passion Lady baridi imezidi bans si unaona hali ya hewa ilivyo baridi imekaba mpaka kidole utafiti wewe huna wa kukutoa baridi mana naona unatoa macho tuu
 
Last edited by a moderator:
Passion Lady nimekumiss mbaya yaani mpaka basi na usiwe na wasi wasi nipo binamu yangu
 
Last edited by a moderator:
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI

#team RAFIKI ni nini?(origin ya #team RAFIKI ) .#team RAFIKI ni matokeo ya uhitaji wa timu ya marafiki wanaoshauriana na kupeana mikakati mbalimbali inayodumisha amani,upendo na maadili hapa jamhuri ya MMU na cc(chit chat) so lengo la kuanzishwa kwake ni kupeana ushauri katika mambo mbambaliya kimaisha pamoja na kuongeza urafiki wetu members wa jamiiforums cause tunaamini jf ni means tu ya kukutana lakini urafiki wa kweli upo au unatokea mahali popote.

Nani anaweza kuwa #team RAFIKI ??
Kwa ufupi kila mtu anaweza kuwa #team RAFIKI coz lengo kuu ni kudumisha urafiki wetu and nothing else so far kuna senior member na junior members wa #team rafiki nitawataja kwa ujumla wao bila ya ku classify yupi yupi ni yupi ukiacha co—founder Mndengereko na bw. utafitti member wengine ni miss chagga mwallu Ntuzu Mr Rocky Ntuzu Mokoyo miss nedy Mentor Heaven on Earth @ Tized kukucd Lady niece Sungura 1980
(kama kuna mwingine nimemsahau naomba kukumbushwa tafadhali)

updates: newest member: J.lee atug HHHK Dinazarde @karucee

So nyooooooote mnakaribishwa katika #team RAFIKI .
Pia ukiwa na swali au lolote la kuchangia unakaribishwa katika uzi huu pia kama kuna chochote ambacho nitakuwa nimekisahau members wenzangu watanisaidia kurekebisha au kuongeze,naomba kuwasilisha

CC : Nicas Mtei , mwekundu

namna ya kujiunga tafadhali
 
Back
Top Bottom