Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Yaaaaani leo pasingekucha bila kupandisha mori Mr Rocky how do you enjoy the ride in my absence!!!!!!
tuwir radhi mkuu baridi hili wengine linatuathiri ila ndani kwenye basi kulikuwa kumepwaya inawezekana ni sababu ya ukosekano wako tafadhali panda tushafika kituoni kwako tena panda na ng`ombe ikiwezekana hata usijali.
 
Last edited by a moderator:
Aisee Mndengereko nimejiingiza kichwa kichwa, kadi itanikuta ndani because I know I belong here.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom