Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

soma pale juu HHHK...i know u can bana
Asante kwa ukaribisho ila mm mgeni hapa hebu dadavua kidogo hiyo clip imegoma kufunguka


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana mkuu wa Kuanzisha Team Rafiki, namio naomba kujiunga rasmi ili kwa pamoja tuweze kushirikishana katika mambo mbalimbali ya kimaisha na kimaendeleo. Naomba unipe taratibu za kufuata.

All the best!!
 
karibuni sana KakaKiiza Rogie mwekundu Nicas Mtei Vin Diesel Kipaji Halisi Asprin watu8...si lazima mhame chama...mnaweza tu kusitisha kulipia uanachama wa #teamBAZAZI .
61316_701131553260716_1345344478_n.jpg
 
Ahsante sana mkuu wa Kuanzisha Team Rafiki, namio naomba kujiunga rasmi ili kwa pamoja tuweze kushirikishana katika mambo mbalimbali ya kimaisha na kimaendeleo. Naomba unipe taratibu za kufuata.

All the best!!
Subiri graduation ya kuwa Senior Expert Member then tuta discuss.
 
Ladies and gentleman napenda kuchukua nafasi hii nikiwa kama co-founder wa #team RAFIKI nikiambatana na mwenzangu utafiti kuwatambulishia rasmi(official announcement) ya #team RAFIKI

#team RAFIKI ni nini?(origin ya #team RAFIKI ) .#team RAFIKI ni matokeo ya uhitaji wa timu ya marafiki wanaoshauriana na kupeana mikakati mbalimbali inayodumisha amani,upendo na maadili hapa jamhuri ya MMU na cc(chit chat) so lengo la kuanzishwa kwake ni kupeana ushauri katika mambo mbambaliya kimaisha pamoja na kuongeza urafiki wetu members wa jamiiforums cause tunaamini jf ni means tu ya kukutana lakini urafiki wa kweli upo au unatokea mahali popote.

Nani anaweza kuwa #team RAFIKI ??
Kwa ufupi kila mtu anaweza kuwa #team RAFIKI coz lengo kuu ni kudumisha urafiki wetu and nothing else so far kuna senior member na junior members wa #team rafiki nitawataja kwa ujumla wao bila ya ku classify yupi yupi ni yupi ukiacha co—founder Mndengereko na bw. utafitti member wengine ni miss chagga mwallu Ntuzu Mr Rocky Ntuzu Mokoyo miss nedy Mentor Heaven on Earth @ Tized kukucd Lady niece Sungura 1980
(kama kuna mwingine nimemsahau naomba kukumbushwa tafadhali)


So nyooooooote mnakaribishwa katika #team RAFIKI .
Pia ukiwa na swali au lolote la kuchangia unakaribishwa katika uzi huu pia kama kuna chochote ambacho nitakuwa nimekisahau members wenzangu watanisaidia kurekebisha au kuongeze,naomba kuwasilisha

CC : Nicas Mtei , mwekundu

Add me aisee am in
I love challenges plus I love exchanges ideas I will be honored to be team rafiki
 
Last edited by a moderator:
usijali rafiki tuko kwenye bungeni maandalizi ya uundaji
na uandaji wa KATIBA ya TEAMRAFIKI
ikiwa tayari tutakujuza ondoa shaka
kwani tushampata mwenyekiti wa muda Tized


teamrafiki mngeweka wazi vigezo vya kuwa member na wengine wajue
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom