Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
- Thread starter
- #441
nimekutafuta kila angle za jiji sijakupata na mvua hii na kibaridi hiki nikajua upo sehemu yenye joto unatuliza baridi na kusubiria mvua iishe ndo utoke njeohoooo OMG yaani wewe nawe ni wa kusikiasikia kweli
why hukuja kuniuliza whats happen kumbe naweza kuzidiwa na ukanipita kama hunijui aiseeeeeeee