Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

sio hilo la tz bazazi letu ni la teamrafiki
na tuna vitu muhimu tumewaandalia kwa
ajili yenu marafiki wote subiri tujadili
kisha tulete katiba yetu hapa muipitishe


isiwe tu kama hili linaloendelea mara katiba ooonh kanuni mara kura tujifiche au hadharani sijui poshooooo!!!!!!!
 
Naomba niwe mtunza shilingi wa kundi,naahidi kua muaminifu!

anza kuwa member kwanza bibie ukishayazoea mazingira na kujua org inafanye kazi tutakupa vyeo vingine.
na kwanini umekimbilia kuwa mshika fedha lol!!
 
Isiwe tu kama hili linaloendelea mara katiba ooonh kanuni mara kura tujifiche au hadharani sijui poshooooo!!!!!!!


Teh teh teh teh

Mara tuairishe! Sijui wanaairisha na kupokea laki tatu!

Mkuu OLESAIDIMU Mimi nimemuona Karucee yuko hapa na Wewe haupo ndio nikamuuliza Ole ako wapi?
 
Last edited by a moderator:
mkuu kwema?? kwani huko ng`ambo pia kuna kibaridi na kimvua kama cha huku kwetu?

aisee kwetu huku northen hemisphere... hali si njema kabisa!

jua kuliona ni once upon a time...
 
Back
Top Bottom