Introducing teamrafiki

Introducing teamrafiki

Mkuu Excel tunauangalia usajili wako kwa makini maanaunaonekana unaleta dharau ambazo kwetu hakuna kitu kama hicho
#teamrafiki haina shida ya kifedha na wala haihitaji wenye uwezo na dharau kama wewe kuwa miongoni mwao ila tunahitaji watu ambao wanaqualify kuwa marafiki nawasiokuwa na chembe ya kumuona mwenzake hana maaana
Kwetu watu wote ni sawa hakuna ubaguzi wa kifedha au kihali ya maisha
So kuwa makini sana
cc Mndengereko, utafiti, Tized, Ntuzu,
so far tumepostpone usajili wake mpk mwezi wa sita huku tukimchunguza tabia yake.anaonekana hana adabu
 
Last edited by a moderator:
hivi Mr Rocky na ndugu Ntuzu.. kuna kosa gani endapo timu hii ikipata mfadhili tu mzuri ambae ataiwezesha timu kuwa strong?

hamuoni kwamba ntakuwa wa manufaa sana kwenu?

nimeomba organization structure... mpaka sasa naona kimya tu![/QUOTE

Mkuu Excel wenye organizationstructure ni #teambazazi sisi tunaishi kindugu hatuhitaji kuwa na mwenyekiti sijui katibu wala nini
Wapo waanzilishi wanaofahamika na tunawapa heshima yao tuu ila wote ni ndugu hakuna mwenyecheo anayepaswa kuheshimiwa sana wala mdogo au asiyepaswa kuheshimiwa au wakupokeaamri tuu
cc Mndengereko, utafiti, Tized na Ntuzu

mr rocky!!!!!!!!!!!!!! shake your head!! this is not socialism jamani!!!!!!!!!!!!!!!!1

mnaishi kindugu vipi mko mjini banaaaaaa!!!!

lazima mpate external sources of funds!!! lazima muwe na advisors!!!!!

hebu Mndengereko kuja huku utoe summary ya maisha ya tim yenu aiseeee!!! dont die while iam here!!!!
 
Last edited by a moderator:
whaaaat? unapiga teke gunia la almasi????

kijana financial year ndo hii kumbuka... tim yenu ntaiminya kwenye bunge la katiba...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sijui mtajiendeshaje sasa..!!!!

RED CARD KWA Excel na Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:
Aisee mi naona membership registration iwe suspended until further notice.

cc Mr Rocky, Mndengereko

karucee think again! this will come through your nose!! ohooo!!!

dont play with the financiers mind!!! nikikata msaada mtaishia kukimbiana kwenye foleni!!!
 
na mimi niongezwe kwenye hili group. Vigezo na masharti vimetimizwa!
 

images


hiyo ni maalum kwa Excel na Mashaxizo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom