MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,852
- 2,299
Asante sana
Next time, ni-tag Mkuu.Haina shida mkuu,tutaendelea kuleteana mambo magumu na yasiyosemwa kwa kadiri tutakavyoweza,tuombe uzima tu mkuu....
titanic 2 au kwa jina lingine queenmary hii ina mpaka uwanja wa ndege na ukubwa wa ile ndege bombadier zetu zinasubiri huu uwanja na ndege yenyewe vipo chini ya meliUthubutu huo Mungu aninyime[emoji23][emoji23][emoji23]
sasa chini ya meli ndege inatuaje?titanic 2 au kwa jina lingine queenmary hii ina mpaka uwanja wa ndege na ukubwa wa ile ndege bombadier zetu zinasubiri huu uwanja na ndege yenyewe vipo chini ya meli
nenda youtube ukajioneesasa chini ya meli ndege inatuaje?
Kwahiyo wameweka kwamba ikianza kuzama wapande ndege
Funguka mkuu,usiongee kwa mafumbothe illuminati killed thos who opposed the start of federal banking system in the USA
Mb[emoji24][emoji24]nenda youtube ukajionee
omba Mungu akupe uwezo wa kutafsiri ndoto...utaokoa wengi,ungeielewa hiyo ndoto huenda huyo asingekufaMwaka huu niliota ndoto nipo katikati ya Kundi la Polisi wenye vyeo vya juu (CP, DCP SACP, ACP) katika Jeshi la Polisi wakiniskiliza tukiwa tunapiga stori (mimi sio Polisi) tukiwa maeneo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, nilipoamka asubuhi nikajiuliza sana juu ya ndoto hii na sikupata majibu. Nikaamua kupuuzia, lakini wiki iliyofuata nikawa katika mazingira yaleyale Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (katika ulimwengu wa mwili na sio ndoto tena) nikiwa nimezungukwa na Polisi walewale niliowaona ndotoni tukipiga stori, hii ilikuwa wakati tukisubiri kuuaga mwili wa mpwa wangu Peter Kubezya (yule OCCID aliyeuawa Kibiti ambaye mwili wake uliagwa Muhimbili kabla hajasafirishwa kwenda kuzikwa Ushirombo). Wakati nikiongea na askari hao ikanijia picha ileile niliyoiona kwenye ndoto...
Moja kati ya maswali magumu ni hayo....Mi naona hadithi hii ilikuwepo kwa sababu hili tukio ni la kupangwa. Pengine hata kifo cha huyu bwana mwandishi hakikuwa cha kawaida. Sasa swali nnalojiuliza nani aliepanga ikiwa kweli ajali hiyo ilipangwa?? Na sababu za vifo vyote hivyo ni nini??
Ila akili yangu imegoma kuona kuwa hiyo imetokea tu nadhani kuna sababu ambazo hatuzijui
Naamini hivyo... Nashukuru kwa ushauri wako...omba Mungu akupe uwezo wa kutafsiri ndoto...utaokoa wengi,ungeielewa hiyo ndoto huenda huyo asingekufa