Insane coincidence: Futility and Titanic

Mi naona inawezekana hata mwandishi wa kitabu walimpanga wao ili watu wasiwe na mawazo kuwa tukio lilipangwa. ametumika kufanya mawazo ya watu yaelemee kwake.
 
kwahiyo hicho kitabu kisikufanye uhame wazo kuwa lilipangwa. au kama hawakumtumia huyo mwandishi. basi siri ilivuja kwa huyo mwandishi nae akaamua kufikisha ujumbe kwa jamii
 
Pia story ya kitabu huenda na njia ya mawasiliano ya siri waliyoitumia kupeana maelekezo ya utekelezaji wa mpango wao mwanzo mwisho. kuliko wangekaa vikao kupanga na kujadili. lazima ingevuja na mchongo ungefeli
 
Hahahahaaaa.....

Naona ni zaidi ya utabiri maana ni kama walikopi karibia kila kitu....
Ila Mkuu kama walicopy bado kuna maswali yanabaki, walijuaje after hizo 400 kama kwenye kitabu kinavyosema watakuta barafu yenye uwezo wa kutoboa meli? Vipi kuhusu Idadi watu waliokufa walifanyaje walau hesabu ishabihiane?

But behind the story wanasema huyu Captain alikua ameshastaafu walimlazimisha tu, ukiwaza sana unaweza kugundua shetani alitumia yaliyomo kwenye kitabu kutumiza Azma yake.
 
Inaaminika mwaka 1910 wanaume Nelson Aldrich na Frank Vanderlip kutoka Rockefeller financial empire, Benjamin Strong, Henry Davison na Charles Norton kutoka makampuni ya J.P Morgan na Paul Warburg kutoka familia ya Rothschid walikutana kwenye kisiwa cha Jeckyll wakiwa na lengo la kuanzisha taasisi itakayoweza kutumika kutoa pesa ya kutosha kugharamia kazi zao za kuifanya dunia kuwa chini ya order moja, kugharamia vita visivyokoma kuwanyosha wote watakaopingana na ramani zao. Hapa ndipo inaaminika kwa Mara ya kwanza wazo la kuanzishwa fideral reserve bank liliibuliwa. Hizi familia tatu Rockefeller, Morgan na Rothschild walitaka watamalaki kwenye uchumi wa dunia. Kwa wakati US haikuawa na banki kuu toka 1830s.

Wachora ramani waligundua US ilikuwa na mabwanyenye pia ambao wangepinga na uanzishwaji wa federal reserve bank kama ingejulikana kuwa sio taasisi ya wamarekani bali mabwanyenye wa ulaya. Hawa walikuwa Benjamin Guggenheim, Isador Strauss na John Jacob. Kwa wakati huo wanakadiriwa kuwa labda ndo walikuwa watu matajiri zaidi duniani wakiwa na utajiri wa zaidi ya us $500mil. Sasa ili kuwaondoa hawa ndo wakaandalia kaburi lenye hadhi yao Titanic. J.P ndo walikuwa owner wa kampuni ya white star line na ndo alipewa order ya kutengeneza Titanic, a floating palace. Morgan hakuwa amewekeza kwenye mabenki tu walikuwa na kampuni nyingine za meli ujerumani ukiacha white star line .

Titanic ilipokamilika 1912 hao mabwanyenye wa US walialikwa kuifanya uzinduzi wa Titanic hawakujua tayari cap. Edward Smith alikuwa ameshapewa order ya kwenda kuwazika kwenye bahari ya Atlantic. Kufikia April 1912 wapinzani wote wa federal reserve bank hawakuwepo dunia. Dec 1913 fideral reserve bank ikaanzishwa, miezi 8 baadae 1914 walikuwa na pesa ya kutosha kuanzisha vita ya kwanza ya dunia.
Nilipata kusoma kitabu flan sikumbuki title ila ni kama hiv: the secrete terrorist in usa. Nadhan hyo ndo title. Hii unayozungumzia imeelezwa kwa kina mno.

Labda kuna ukweli flan hv
 
kinachonisikitisha zaidi ni kanisa langu la kotoliki kuusihwa na kila mambo ya ajabu na kusitikisha haswa yenye ushetani ndani yake, kila habari ngumu ngumu zilizokosa majibu hautakosa kusikia uhusika wa kanisa katoliki. sijajua malengo yao yalikua ninini au ni kipi haswa walichokua wakitaka maana mambo ya kanisa Mungu mwenyewe ndie anaeratibu,kama nikweli nia yao ilikua ni kueneza neno la Mungu sifhani kama walikua wakiongozwa na Roho wa Mungu kama ambavyo Kristo alivyosema kua yote watakayofanya katika kuhubiri Roho Mtakatifu ndie atakae kua msaidizi . ngoja tuone itakavyo kua maadamu hauna siri itakayositirika daima.
Kama wewe ni mpe kufatilia mambo ya behind headlines. Tafta kitabu kinaitwa "in gods name"...ukikisoma chote....mahali popote utakapokuta na kanisa roma lazma utoe "shikamoo yenye unyenyekevu"
 
kinachonisikitisha zaidi ni kanisa langu la kotoliki kuusihwa na kila mambo ya ajabu na kusitikisha haswa yenye ushetani ndani yake, kila habari ngumu ngumu zilizokosa majibu hautakosa kusikia uhusika wa kanisa katoliki. sijajua malengo yao yalikua ninini au ni kipi haswa walichokua wakitaka maana mambo ya kanisa Mungu mwenyewe ndie anaeratibu,kama nikweli nia yao ilikua ni kueneza neno la Mungu sifhani kama walikua wakiongozwa na Roho wa Mungu kama ambavyo Kristo alivyosema kua yote watakayofanya katika kuhubiri Roho Mtakatifu ndie atakae kua msaidizi . ngoja tuone itakavyo kua maadamu hauna siri itakayositirika daima.
Kama wewe ni mpe kufatilia mambo ya behind headlines. Tafta kitabu kinaitwa "in gods name"...ukikisoma chote....mahali popote utakapokuta na kanisa roma lazma utoe "shikamoo yenye unyenyekevu"
 
Ila Mkuu kama walicopy bado kuna maswali yanabaki, walijuaje after hizo 400 kama kwenye kitabu kinavyosema watakuta barafu yenye uwezo wa kutoboa meli? Vipi kuhusu Idadi watu waliokufa walifanyaje walau hesabu ishabihiane?

But behind the story wanasema huyu Captain alikua ameshastaafu walimlazimisha tu, ukiwaza sana unaweza kugundua shetani alitumia yaliyomo kwenye kitabu kutumiza Azma yake.
Mkuu,hapa kuna mengi sana,ngoja niwaache wakuu waumize vichwa tu.....
 
Hawa washenzi huwa wanaandaa kwanza stori halafu baada ya muda wanakuja kutekeleza in real life hata lile shambulizi la WTC towers lilishaandaliwa kwenye mfumo wa computer games '94 wakaja kutekeleza 2001 kila kitu kinacho tokea kimepangwa kutokea it's a matter of time
There you are mkuu....

Tena "hawa watu" ni washenzi kweli kweli....
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Everything is under watch hapa dunia,..ni masterplan ambazo huwez fikiria kama zna exist...kuna series moja ya LOST ukiiangalia vzur kwa umakin unaweza pata picha flan,af huyu grand master planner huwa anatoa clues flan sema kwasabab humans ni tomaso,so hua hatuoni.
Hapa km kuna ukweli, maana baada ya ile series ya lost tukaanza kuona matukio ya ndege kupotea.
 
Back
Top Bottom