Insane coincidence: Futility and Titanic

Mkuu unaweza kujua kifo cha muandishi wa kitabu kilisababishwa na nini? Pia Mkuu wa kitengo au utengenezaji wa hiyo meli kilimpata nini baada ya meli yake kuzama?
Naomba ufafanuzi mkuu
Mwandishi alifariki kifo kilichoitwa "cha kawaida tu" mkuu....

Meli ilitengenezwa na kampuni na siyo mtu mmoja mkuu.....
 
Nilitegemea kusikia kuhusu huu mwisho wake. Sasa naamini kabisa kuwa jambo hilo lilikuwa na uhusiano na ulimwengu wa roho, maana wengi wao huwa na sifa kama za huyo mtu: wanaonekana kuwa ni watu wa kawaida sana, wanaonekana kama wana matatizo ya akili (kwa kuwa wanaishi katika dunia inayoitwa 'beyond imagination'), na hata vifo vyao huwa ni vya kutatanisha, au huambatana na mauzauza fulani...

Nikipata nafasi nitaeleza zaidi kuhusu dunia ya 'beyond imagination' (kwani kwa sasa kuna kazi muhimu naifanya kwanza), kwani wengi waliofanikiwa sana (kama marais, wafanyabiashara wakubwa, watu mashuhuri) walianzia kwenye hii dunia kabla ya kufika hapo walipo...
Mkuu tupia uzi WA ulimwengu wa kiroho utupe nondo zaidii ChA muhimu usisau kunitag
 
maybe huyo mwandishi alikua na kipawa kama cha NOSTRADAMUS mwandishi maarufu wa kitabu kilichojulikana kwajina la THE MAN WHO SAW TOMMOROW
 
Kuna documentary moja nimewahi iona wanasema iliyozama siku hyo si meli ya Titanic bali ni her sister ship jina lake silikumbuki na ilisababishwa na mambo ya insurance jamaa wakashift meli ili walipwe na bima ile meli ya zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edward Smith alikuwa ndiye nahodha wa titanic


Edward Smith amekuwa nahodha kwa miaka 26 akiwa na uzoefu wa kutosha na ruti za bahari ya Atlantiki. Amefanya kazi kwa miaka mingi akiwa ndani ya kampuni ya J.P. Morgan. sasa haiingii akilini kwa nahodha kama Edward Smith ashindwe kuelewa baharini kuna iceberg.
Halafu mwenye meli alihairisha kusafiri hyo maiden voyage dakika za mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Eiyer kuna habari titanic ilizamishwa kwa sababu ya matajiri watatu waliokwemo ndani ya titanic,ambao ni Benjamin Guggeenhein, Isador Strauss pamoja na John Jacob Astor aliyeaminiwa kuwa tajiri namba moja duniani kwa wakati huo.
Mfumo mzima uliundwa from the beggining kwaajili ya kuwaua hawa jamaa, au meli tu ilibidi izamishwe baada ya kugundua hawa jamaa wapo ndani ya meli siku ya safari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna documentary moja nimewahi iona wanasema iliyozama siku hyo si meli ya Titanic bali ni her sister ship jina lake silikumbuki na ilisababishwa na mambo ya insurance jamaa wakashift meli ili walipwe na bima ile meli ya zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu,Titanic ilikwenda wapi baada ya tukio hili?
 
Back
Top Bottom