Insane coincidence: Futility and Titanic

Insane coincidence: Futility and Titanic

Everything is under watch hapa dunia,..ni masterplan ambazo huwez fikiria kama zna exist...kuna series moja ya LOST ukiiangalia vzur kwa umakin unaweza pata picha flan,af huyu grand master planner huwa anatoa clues flan sema kwasabab humans ni tomaso,so hua hatuoni.
LOST naifahamu sana mkuu,akina Jack Shepherd na Kate,Sayed Jarah,Shanon,Boon,Sowyer,Benjamin Linus,Sun na wengine weengi sana mkuu.....

Ile tamthilia inatuonesha kuwa kuna matukio ya kupangwa kwasababu maalum kama lile tukio la ajali ya ile ndege kutokea kwa kupangwa....

Ila hii ishu ya Titanic inashangaza sana.Hivi Morgan Robertson alikuwa kwenye huu mpango au ilikuwaje akajua yote hayo miaka 14 kabla?
 
Asante sana mkuu kwa kutujuza zaidi kuhusu meli ya Titanic

Kwa hiyo walimwua Morgan au?

kuna wakati unaweza kuwaza kitu halafu baada ya muda hata miaka 1 au 2 kinakuja kutokea unajiuliza ilikuwa ni ndoto
Jamaa alikutwa kwenye chumba cha hoteli akiwa amekufa sasa sikuingia ndani sana kwenye kutafuta chanzo cha kifo chake lakini yote yanawezekana vile vile....

Kwenye hili la huyu jamaa nasema sidhani kama inawezekana awe aliwaza tu kikawaida aisee....
 
Mkuu eiyer Mimi niliacha kabisa kupost jamii intelligence, hawa jamaa wanachokifanya ni kero kubwa sana. Mtu unaweka thread inabidi usubiri siku 3 ili ije kuonekana. sijui hua wanaedit nini, yani bado sijaelewa, maana hata wakiachia unakuta thread iko vile vile kama ulivyoipost.

Uongozi wa JF watuletee moderator specific kwajili ya jamii intelligence, awe mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kusoma thread na kufanya editing (kama kutakuwa na umuhimu) na kuachia thread iwe public in less that half an hour.

mkuu naweza kuongea nawe pm
 
Aisee asante kwa huu uzi hakika umeongeza kitu katika ufahamu wangu leo.. Nilikua sijawahi kujua kuhusu hii coincidence
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Jamaa alikutwa kwenye chumba cha hoteli akiwa amekufa sasa sikuingia ndani sana kwenye kutafuta chanzo cha kifo chake lakini yote yanawezekana vile vile....

Kwenye hili la huyu jamaa nasema sidhani kama inawezekana awe aliwaza tu kikawaida aisee....
Aise inawezekana walimjasusi asije akaandika hadithi nyingine halafu yakatokea ya kutokea.
Hebu fanya upekuzi kwenye vyanzo vyako mkuu utuletee uzi kuhusiana na kifo chake
 
Back
Top Bottom