Insane coincidence: Futility and Titanic

Insane coincidence: Futility and Titanic

Nikiwa miongoni mwa watunzi wa riwaya dhati, ni wazi kwamba kampuni iliyotoa oda ya kutengenezewa meli yenye vipimo sawa na mawazo ya Morgan kwenye kitabu chake cha futility, walikuwa wamesoma kitabu hicho kabla, na ingekuwa kinyume chake kama Kitabu hicho kinge pigwa chapa baada ya ajali halisi kutokea.
 
Tukio la titanic lina sura mbili tofauti na zote zinaweza kuwa sahihi.

Kwa upande wa maono ya kiroho inawezekana sana maana kuna watu wana uwezo wa kuona jambo litakalotoke miaka michache ijayo na likawa kweli (means likatokea kama alivyoona au kuota). mifano ya watu wa namna hiyo ipo kama walivyoeleza baadhi ya wachangiaji humu. ukimuita Mshana Jr anaweza kueleza vizuri zaidi kuhusu physical power na mambo kama hayo.

Kwa upande wa pili ni uwezo wa secret societies kupanga mambo ambayo yatatokea duniani kwa utaratibu wanaoutaka wao, muda na mazingira ya tukio walilolipanga. mfano kifo cha rais wa marekani J. F. Kennedy na Ibrahim Lincolin. Marais hawa ukisoma historia ya vifo vyao unaweza kuona wanapishana miaka 100 but kilichotokea kwa wote wawili na jinsi walivyokufa unagundua kabisa kuna mpango madhubuti wa kitaalamu na sio coincedence.

All in all tuendelee kufuatilia tutajua mengi juu ya titanic na mengine kama hayo.
 
Inajulikana kuwa mwanzoni mwa miaka ya 1830 Amerika bado ilikuwa haijawa na Benki Kuu wakati majasusi hawa wa Ki-Italiano walihitaji benki nyingine Amerika ambayo wangetumia kuchota fedha kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya vita na ajenda nyingine za siri duniani kote.

Mnamo mwaka 1910 karibu na pwani ya Georgia katika kisiwa cha Jekyll wanaume saba walikutana kwa lengo la kuanzisha benki hiyo ambayo ingeitwa Benki ya Akiba. Hapa ninawazungumzia Nelson Aldrich na Frank Vanderlip ambao waliwakilisha taasisi ya fedha ya tajiri Rockefeller; Henry Davison, Charles Norton na Benjamin Strong waliowakilisha kampuni ya J.P, wengine ni Morgan na Paul Warburg waliowakilisha benki ya Uropa ijulikanayo kama Rothschilds ambayo ilikuwa ni wakala wa Kipapa ikifanya kazi moja tu, nayo ni kulinda utajiri wa kanisa la Katoliki.Ujenzi wa meli ya Titanic ulianza mnamo mwaka 1909 katika karakana ya kutengeneza meli ya Belfast, mji mkuu wa Ireland Kaskazini ukiwa na waumini wengi wa Kiprotestanti ambao walikuwa ni maadui wakubwa wa Jesuits katika harakati zao za kusimika Ukatoliki duniani.

Hii ilitokana na hofu kwa Jesuits kwamba watu hawa wangeweza kutumia umaarufu na utajiri wao kuzuia kuwepo kwa Benki ya Akiba. Na kwa kuwa hawa ni watu ambao walipenda starehe na kuponda raha, ni lazima wangependa kuishi ndani ya Titanic ambayo iliundwa maalumu kama kaburi lao bila kujua.
Duh!
 
Mkuu nadhalia yako ni yakuchukuliwa kwa umakini sana
 
Mkuu eiyer Mimi niliacha kabisa kupost jamii intelligence, hawa jamaa wanachokifanya ni kero kubwa sana. Mtu unaweka thread inabidi usubiri siku 3 ili ije kuonekana. sijui hua wanaedit nini, yani bado sijaelewa, maana hata wakiachia unakuta thread iko vile vile kama ulivyoipost.

Uongozi wa JF watuletee moderator specific kwajili ya jamii intelligence, awe mtu mwenye akili timamu ambaye anaweza kusoma thread na kufanya editing (kama kutakuwa na umuhimu) na kuachia thread iwe public in less that half an hour.
.
 
Mwaka mmoja au miwili wakati naangalia mechi ya westbrom vs swansea (wa mpira wataelewa) nikawaza hivi; Timu zimeshakua nuingi wachezaji ni wengi sana kwa sasa tofauti na miaka ya sasa kwa nini wasifanye mabadiliko matano kwenye mechi moja? Ili wachezaji wapate fursa hili wazo. Muda sio muda sio muda mwezi huu mabadiliko yameanza kutumika. Sio mara moja au mbili nimewaza hili huenda ningeandika makala kulihusu ningeonekana vipi sijajua.

Naamini kuna mafunulio flani na kuna mipango flani hasa mambo kama haya yenye mchakato mrefu hivi lazima kuna upangaji. Hawa waandika vitabu hua ni kina Isaya na Yohana kusafisha njia.
 
Back
Top Bottom