SHOOyaKIBABE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,182
- 1,717
Wali copy hadi ajali?labda coincidence au watengenezaji wa Titanic walicopy kwa Morgan! au Illuminati were at work!
Wali copy hadi ajali?labda coincidence au watengenezaji wa Titanic walicopy kwa Morgan! au Illuminati were at work!
Na mimi nshapata hadithi hii kuwa alithihaki kuhusu uimara wa meli yakeMbona kunasehemu nilisoma kwamba huyo jamaaa aliyesimamia hiyo meli Mpaka ikakamilika alipo hojiwa uimara wake ulitoa kufuru akasema kwa kwa jinsi ilivyo imara hata mungu hawezi kuizamisha matokeo yake ndo hayo alileta kufuru huyo majinga
Tusijilaume sana, yawezekana tungekuwa mbali kama tusingevurugwa kwenye mila, elimu, desturi, na maendeleo yetu na hawa wakoloni, who knows, ila walivyokuja na kuamrisha tufuate yao maisha yetu yote yalibadilika, siwalaumu wazee wetu, wakuwalaumu ni hawa wazungu wasiotosheka na vyao..1864 kampuni inatengeneza meli huku afrika sijui tulikua tunafanya nin
Tulikuwa tunatengeneza mitumbwi na hadi Leo bado tunatengeneza mitumbwi vile vile1864 kampuni inatengeneza meli huku afrika sijui tulikua tunafanya nin
Planners.....controllers wa huu ulimwengu.Na nani?
Sayari ya Zohari ni sayari ipi mkuu wangu....yaani kwenye sayari ya zohari kuna mwezi unao itwa titani, ndio nilikua nikiuliza kama kama kuna uhusiano wa majina haya kati ya mwezi huu na hizi meli, maana mwezi huu uligundulika kati ya 1600 nadhani.
Wale waokozi wangekuwa wanapiga pichaHahahahahaaaaaaa.....