Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
dah kumbe wengine hua tunatumiaga makalio yetu wakati wa kupost
mtotowamjini hapo wala sijaku-readmo kwa kweli.
dah kumbe wengine hua tunatumiaga makalio yetu wakati wa kupost
Dah kumbe wengine hua tunatumiaga makalio yetu wakati wa kupost
Heheheh! Huyo mtotowamjini ameathirika na mambo ya mjini.mtotowamjini hapo wala sijaku-readmo kwa kweli.
Asprin....5,4,3....Nitake radhi haraka sana.la sivyo nitaacha kukufolo na uchumba wetu wa kudumu utakufa rasmi...Khaa! Huu ujiko ni lazima nishee na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho. Hivi kumbe hata haya maposts ya ukrap kuna watu yanawavutaga?
Leo ntakunywa biya mpaka nipasuke wallah. Mara ya mwisho kupata maujiko kama haya wakati wa gradyuesheni ya fom foo. Baada ya kuutwika mtungi wa kutosha niliingia kwenye ukumbi wa disko nikatoa viti vyote nje. Masista duu wa Kibosho gelz tuliowaalika kukata mkonyonyo walicheza mziki mwanzo mwisho bila kupumzika. Wangekaa wapi?
Mkuu Ecoli ahsante kwa kunifolo, nami ntajitahidi kukufolo ila tu uniambie ni wapi tunatofautiana mitazamo ili nijirekebishemo. Najua ni mimi tu ntakuwa nakorofisha. Source: mwaJ, Blue G, Nyamayao, Zion Daughter, Mamndenyi, Dena Amsi , gfsonwin, snowhite na videmu vyoote vinavyopinga Infii.
mwaJ am looking for u msiri wangu where hav u been jamani
mwaJ.....kuna mipango gani tena hebu ning'ate sikio.... Asprin eti una salamu zangu?Ha ha haaaaa! I'm around my dear. Acha kuyeyusha! Mie ndio nilikuwa nakutafuta muulize babu Asprin. Ila ukionana na babu mwambie aache mipango anayoifanya na Mwita Maranya kuhusu mie na mdogo wangu Blue G.
Mwenzangu! Eti anataka kunioza mie au Blue G kwa mkurya! Si tutaishia kukatwa masikio jamani!
Haaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaa neno hilo,tena akae mbali kabisa na sisi.Ha ha haaaaa! I'm around my dear. Acha kuyeyusha! Mie ndio nilikuwa nakutafuta muulize babu Asprin. Ila ukionana na babu mwambie aache mipango anayoifanya na Mwita Maranya kuhusu mie na mdogo wangu Blue G.
Hivi we Kaizer unataka nikaguliwe mara ngapi???????mi nishamaliza.naona huamini hilo, au kwa kuwa hukuwepo kwenye ukaguzi???????
Yaan unaweza ku~follow kila post ya member uliyem~follow, unapata notification kila akipost na unaweza ku repost hiyo post yake. Ningemfollow member anaitwa Asprin, japo tunatofautiana sana mitazamo ila babu huwa anahusisha ubongo wake kwenye kila post yake. Ni hayo tu.
mwaJ, hebu nipe link ni wapi hasa amefanya hayo? in any case mchawi hapo ni hommie wangu Asprin bila yeye hakuna kitachotokea msiri wangu. Miss u so muchMie naomba umuonye huyo Mwita Maranya maana naona yeye ndio anamshawishi sana Asprin. Babu anawajukuu wengi kwanini anatuchagua sie?
Blue G hata kukufaham bado, ningekuwepo vipi kwen ukaguzi, ndo maana nikauliza ulipita mlango gani? hebu jitambulishemo kidogo basi....naona u mgeni machoni pangu....si unajua tena shati kuu kuu ndo dekio jipya??Hivi we Kaizer unataka nikaguliwe mara ngapi???????mi nishamaliza.naona huamini hilo, au kwa kuwa hukuwepo kwenye ukaguzi???????