Ingekuwa kama TWITA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ingekuwa kama TWITA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nduka, Sep 5, 2012.

 1. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Yaan unaweza ku~follow kila post ya member uliyem~follow, unapata notification kila akipost na unaweza ku repost hiyo post yake. Ningemfollow member anaitwa Asprin, japo tunatofautiana sana mitazamo ila babu huwa anahusisha ubongo wake kwenye kila post yake. Ni hayo tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kabisaaa kabisa
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Umeona mkuu, tena nataka kwenda COSOTA kusajili wazo hili nisije ibiwa na akina Paw
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Khaa! Huu ujiko ni lazima nishee na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho. Hivi kumbe hata haya maposts ya ukrap kuna watu yanawavutaga?

  Leo ntakunywa biya mpaka nipasuke wallah. Mara ya mwisho kupata maujiko kama haya wakati wa gradyuesheni ya fom foo. Baada ya kuutwika mtungi wa kutosha niliingia kwenye ukumbi wa disko nikatoa viti vyote nje. Masista duu wa Kibosho gelz tuliowaalika kukata mkonyonyo walicheza mziki mwanzo mwisho bila kupumzika. Wangekaa wapi?

  Mkuu Ecoli ahsante kwa kunifolo, nami ntajitahidi kukufolo ila tu uniambie ni wapi tunatofautiana mitazamo ili nijirekebishemo. Najua ni mimi tu ntakuwa nakorofisha. Source: mwaJ, Blue G, Nyamayao, Zion Daughter, Mamndenyi, Dena Amsi , gfsonwin, snowhite na videmu vyoote vinavyopinga Infii.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Sasa mbona hujamgongea japo ka-LIKE? Afu unajua Kaizer, Erickb52, Judgement na BAGAH wanakumendea wakukague?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Duh! Sikubali! Yaani sie ni videmu! Ila hongera kwa kupata maujiko. Kama namuona cacico tabasamu mpaka kisogoni!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Babu wala usijirekebishe bakia hivyo hivyo, unajua mimi ni gamba tokea babu hadi mjukuu. Ndipo tunapo hitalafiana ila nafurahia tofauti zetu.
   
 8. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Yaani pamoja na likapasite lako la uelewa umeshindwa kurikognaiz mnapotafautiana? Kwa ufupi mnapotafautiana ni kua wewe unakulaga "Finyango kwa finyango" na yeye anakula na "Chandarua"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Kwikwikwi babu swaiba yake Zuma?
   
 10. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hahaaa babu Asprin umenifanya nicheke nilikuwa sijacheka tangu asubuhi.wanikague?Ili swala mpenzi wangu Ronn M alishalifunga
   
 11. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tofauti yenu mmoja cha pombe mwingine totos!
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  We dogo Judgement kiherehere kitakuponza. Msome huyu aliyegoma kuvua gamba hapo chini alivosasambua tofauti ya mitazamo yetu.

  Heheheh! Mie si mwanachama wa chama lolote lile la siasa. Ila mgombea wa Gamba aliyewahi kubahatika kukamata kura yangu alikuwa Charles Keenja. Wakati huo akitokea kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jiji akiwa jembe kwelikweli. Nlikuja kujuta baada ya kushinda kwake, hakuna alichofanya bungeni.... Ili ujue sina chama, wagombea wafuatao wa uraisi ndio waliofanikiwa kuambilia kura yangu.

  1995 - Augustine Lyatonga Mrema... Holaaa!!
  2000 - Ibrahimu Lipumba...... Holaaaa!
  2005 - John Momose Cheyo..... Holaaa
  2010 - Dr. Wilbrod Peter Slaa..... Holaaa!

  Sijawahi kuchagua lijamaa likawa lirais asee. Na sijawahi juta.

  Damn! Kumbe hili ni jukwaa ChitChat, na hii ni sredi ya maujiko kwangu?

  Poor me!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hayo ndo matamu ujue.....yanawapunguzia mastress. Sasa tunasheherekea wapi haya maujiko mume wetu? na unataka wakezo tuje tumevaa nini?weka na picha kwa msisitizo
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Sikujua kumbe Ecoli ni chapombe? Ulijuaje KARIA? Kiukweli mi napenda watoto kama alivyosema Yesu, waacheni watoto wadogo waje kwangu kwakuwa ufalme wa mbinguni ni wao. We KARIA ushaacha tabia yako ya kupiga punyeto unapoona vinyeo vya mbuzi? Utakuja baka wanyama siku za usoni usipoacha tabia yako hii..... Ohooo!
   
 15. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii Asprin unanikoshaaa.............ungemalizia kabisa na 2015 utampigia nani na una uhakika mtakatifu hatokua raisi lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280

  Duu we kiboko hadi bwana mapesa ndani? Ngota tuchenji sabjekti tusije wakimbiza wajukuu zako wapendwa. Swala la Judgement linaukweli? Una ushkaji na Zuma?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. KARIA

  KARIA JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Huuwiii! Kweli fungu la kukosa ni la kukosa tu! ila usikate tamaa Babu yangu 2015 utampata tu!
   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Pigeni vivazi vya kuogelea kama siku ile CUTE alivyokuja kuwatembelea...

  [​IMG]
  Mie ntakuwa nimepozi mkao wa nyani nawaangalieni wake zangu mnavyojimwayamwaya...

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Huo mzigo hapo Yummy na wenzake wameulegeza hadi umepoteza natural shape, ina maana bibi shemeji huwa anabembea hapo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,029
  Trophy Points: 280
  Tatizo Judgement Bange zinammaliza. usimsikilize sana.

  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...