Ingekuwa kama TWITA

Ingekuwa kama TWITA

Come on mwaJ, this is between me and you. It has nothing to do with my darling wives. Hebu kam zis way PM basi.....

It has everything to do with them! Nataka waje kukuburuza wakurudishe home uache kusumbua wajukuu.
 
Endelea tu mwaego kwa raha zako............laifu iz too shot!

Ha ha haaaaaa! Yummy umenimaliza kabisa! Una muendekeza na kumdekeza sana huyu mume wenu ndio maana hatulii! Ngoja nisubiri labda best yangu cacico atanisaidia. Lol!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaa! Yummy umenimaliza kabisa! Una muendekeza na kumdekeza sana huyu mume wenu ndio maana hatulii! Ngoja nisubiri labda best yangu cacico atanisaidia. Lol!
mwaJ kam zis way akukague ndio utatuelewa kwa nn tunang'ang'ania hapo!
 
Last edited by a moderator:
We umepotelea wapi wajameni, mbona umekua adimu kama ****** ya panya?!
ujue mama amerudi Yummy! nabanwaje sasa?? kazi mimi na mama mimi! ni kasheshe! ila MUNGU ni mwema anaendelea vema!
 
Last edited by a moderator:
ujue mama amerudi Yummy! nabanwaje sasa?? kazi mimi na mama mimi! ni kasheshe! ila MUNGU ni mwema anaendelea vema!

Ooh my luv, nashukuru kusikia hivyo......Mungu ni mwema na anasikiliza maombi yetu,tuzidi kumuomba.

Love u mwaaaaah
 
Back
Top Bottom