Ingekuwa kama TWITA

Haaaaaaahaaaaaaahaaaaaa.pole sana Kaizer,ila mi niliingilia huu huu mlango wa jf sema labda we ulikuwa umesafiri wakati huo.hata hivyo ondoa shaka hesabu mpaka hapo ushanijua nitanya juu chini ili niwe mwenyeji machoni pako.
 
Last edited by a moderator:

Hayo sasa ndo maneno muulize mwaJ atakwambia nilikokua nikitetra taifa. Hekima hii kakufundisha nani Blue G?
 
Last edited by a moderator:
Mwaaah cacico my sweet shemeji nami poa nakufolo!
karibu sana. umekuwa wa tatu kunifolo! wa kwanza ni jk na zoka, ighondu na rpc wa iringa wameomba kunifollo nimekataa requests zao, naogopa maafa, ila abedi na msangi nimewaweka pending, lol!
 
habari ya jioni hubby! natumaini kwema utokako, karibu maamri na mabumunda!

Ahsante wifey. Niko namkodolea macho shostee hapa ametia mbavu. Leo niko kibodigadi zaidi. Afu nna hamu yako ujue.
 
Ahsante wifey. Niko namkodolea macho shostee hapa ametia mbavu. Leo niko kibodigadi zaidi. Afu nna hamu yako ujue.
kwani ile ratiba ipo ama imeahirishwa?? nadhani tungeangalia mambo ya msingi kwa taifa letu kwanza.
 
kwani ile ratiba ipo ama imeahirishwa?? nadhani tungeangalia mambo ya msingi kwa taifa letu kwanza.

Kama hali itaendelea vema hivi, ratiba iko palepale. Maisha lazima yasonge mbele beste angu.
 
Back
Top Bottom