Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 9,920
- 19,646
Katika maisha kila mtu Huwa na motives na matarajio ili kufanya maisha yake yawe apealing(mazuri)
Ni sawa kabisa maana maisha bila kusudi au lengo hubaki tupu.
Ila wengi wetu huwa na matarajio bila ya kuwa na boundaries..
Hatuwi na boundaries za kutowahusisha wengine ndani ya hayo matarajio yetu.
Unakuta mtu ni mkatoliki lakini anataka Waislamu pia wawe kama yeye, au mtu anapenda starehe ya Kukesha club anataka rafiki yake pia awe namna hiyoo
Well hii tabia hujengeka hasa kwasababu ya Kukosa utambuzi wa mambo.
Mfano: Mkristo aliaminishwa kuwa YESU ndiye mwokozi wa ulimwengu, yapaswa kumwabudu yeye pekee, so akikutana na Buddha anaye amini kupitia practices hawezi kumwelewa
Au, unakuta mtu haamini katika polygamy, atasema anaye owa wanawake wengi hayuko sawa.
Vivyo hivyo katika mitazamo ya kila leo.. Wengi wetu tunajenga picha mawazo I mwetu na kumbox mtu katika kundi fulani pasipo kujua huyo mtu ni zaidi ya box lenyewe. Mtu akipingana na sisi hatuoni ya kuwa huyo mtu ni zaidi ya box, bali box ndio yeye mwenyewe.
Katika muktadha wa mahusiano, hili swala ndo number one factor wengi kukosea kuoa, lakini pia inawafanya waliopendana kukosa umoja na mwisho ndoa kuvunjika
Mimi nimekuwa muhanga mkubwa sana katika hili na ni najitahidi sana kujisahihisha na kujifunza kupitia wengine. Mahusiano mengi kwangu hayakuwa healthy ndio, ila pia nilijifunza kuwa ningalijua boundaries mapema huenda hata nisinge ingia katika hayo mahusiano. Kwa sababu ninge heshima mawazo ya watu na kuwa acha waendelee na maisha yao pasipo haja kubwa ya kuwa taaka wawe watu tofauti.
Unapo kuwa na mapendeleo fulani katika maisha ni kheri ukawa mkweli na kumfanya mwingine aweze kujua.. Hii humfanya mtu kujua namna ya ku adjust ajue wapi ana fit. Wengi hupenda mwonekano, vitu na status, ila lijapo swala la priorities na beliefs au worldviews tunasahau sana.. Au sio kwamba tunasahau, bali tunadhani tuta wa badilisha hao watu tuwapendao.
Hatujui ya kuwa kila mtu ana ego, japo ni sawa Kama mtu ni mwelewa anaweza kujua na kuadjust kurelate na wewe, ila ni lazima kwanza ajue wewe unako stand kimtazamo.
Na kingine... Kuna hiki kitu kinaitwa ego play yaani mtu anaku trick kuwa kachukizwa na kitu ulichofanya then uumizwe pia kwa kufanya kile kitu ili ego yake ijihisi amani. Ukiumia uombe msamaha, alafu next time ufuatilize matakwa ya anacho kuamini.
Ego Play hufanywa zaidi na wanawake manipulative, wao hutumia mbinu za kununa for no reason, au ana acha kukujibu text, au ana kuignore tu. Ili ujione madhaifu kwake.... Ila pia wanaume hufanya kwa namna ya kuchelewa kurudi kisa hataki muongee kitu cha muhimu kuhusu uhusiano au familia yenu.
Njia pekee ya kutoka kwenye huu ujinga ni kuwa real and open... Lakini pia kuacha kumbox mtu bali kujaribu kuwa na open ended conversation ili kila mmoja awe huru kuongea bila kufeel attacked.
Wazungu wametuzidi wamatumbi hapo.. Na wamatbi wengi hukimbia pale tu ukweli Unapo anzwa kuguswa. Sijasema mtu vibaya tafadhali nimeongea tu kutokana na experience yangu. Hakika kati ya wanawake wengi tulio achana na kuzinguana kuna hao wachache hawakuwa na tatizo kabisa ila ni mimi pamoja na mihemko, beliefs na ujuaji wangu viliwafanya washindwe kutorelate... Walipenda uwazi lakin kwa place niliyo kuwepo at that time nisingeweza kuongea...
I hope hiki kitu kitamsaidia mtu pia, sio katika mahusiano tu. Makazini, biashara, na vinginevyo.
Blessingss
de Gunner.