Ingekuwa kama TWITA

Ingekuwa kama TWITA

tobaaaaaaaaaaaaaaaa yailahiiii dunia imefinish


Si afadhali hao, na hawa je?

attachment.php
 
chezea my hubby...................


Yaan unaweza ku~follow kila post ya member uliyem~follow, unapata notification kila akipost na unaweza ku repost hiyo post yake. Ningemfollow member anaitwa Asprin, japo tunatofautiana sana mitazamo ila babu huwa anahusisha ubongo wake kwenye kila post yake. Ni hayo tu.
 
wake za Asprin oyeeeeeeeeeeeeeeeee, na idumu faivusamu...
Hoyeeeee! Wadumu kama serekale ya Mugabe!!

Si ni kawaida za kuogea! Da' Yummy umekuaje wauliza Uduvi ferry ?
Maoni yangu muwahi huko ku'seremoni manaake Babu, tangu juzi hatoki kwenye Sredi ya Wheelbarrow! So atakua na mhamasiko toshelevu, kumipokeeni ikibidi kwa Wheelbarrow kama sikosei .
Hiyo sredi ako wapi bana?
 
Khaa! Huu ujiko ni lazima nishee na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho. Hivi kumbe hata haya maposts ya ukrap kuna watu yanawavutaga?

Leo ntakunywa biya mpaka nipasuke wallah. Mara ya mwisho kupata maujiko kama haya wakati wa gradyuesheni ya fom foo. Baada ya kuutwika mtungi wa kutosha niliingia kwenye ukumbi wa disko nikatoa viti vyote nje. Masista duu wa Kibosho gelz tuliowaalika kukata mkonyonyo walicheza mziki mwanzo mwisho bila kupumzika. Wangekaa wapi?

Mkuu Ecoli ahsante kwa kunifolo, nami ntajitahidi kukufolo ila tu uniambie ni wapi tunatofautiana mitazamo ili nijirekebishemo. Najua ni mimi tu ntakuwa nakorofisha. Source: mwaJ, Blue G, Nyamayao, Zion Daughter, Mamndenyi, Dena Amsi , gfsonwin, snowhite na videmu vyoote vinavyopinga Infii.

Bora umejijua................
 
Back
Top Bottom