Ingekuwa kama TWITA

Khaa! Huu ujiko ni lazima nishee na wake zangu Yummy, cacico na BADILI TABIA chini ya uangalizi wa Kongosho. Hivi kumbe hata haya maposts ya ukrap kuna watu yanawavutaga?

Leo ntakunywa biya mpaka nipasuke wallah. Mara ya mwisho kupata maujiko kama haya wakati wa gradyuesheni ya fom foo. Baada ya kuutwika mtungi wa kutosha niliingia kwenye ukumbi wa disko nikatoa viti vyote nje. Masista duu wa Kibosho gelz tuliowaalika kukata mkonyonyo walicheza mziki mwanzo mwisho bila kupumzika. Wangekaa wapi?

Mkuu Ecoli ahsante kwa kunifolo, nami ntajitahidi kukufolo ila tu uniambie ni wapi tunatofautiana mitazamo ili nijirekebishemo. Najua ni mimi tu ntakuwa nakorofisha. Source: mwaJ, Blue G, Nyamayao, Zion Daughter, Mamndenyi, Dena Amsi , gfsonwin, snowhite na videmu vyoote vinavyopinga Infii.
Yaani mpaka hapa nilipo nimeshika kichwa maanake siamini kama kwa pointi zako zinavyokuwaga umemwagiwa misifa hivyo!!!!mi hata sikubali mi naandamana,sio siri liwalo naliwe.
 
Ha ha ha ha ha Asprini bana
Sio makila saa unatakiwa kuwa ON BRAIN, kuwa OFF bRAIn ni nzuri sana

KRAAAAPPPPP OYEEEEE

LAbda uanzishe Umoja wa Krap JF.
 
Last edited by a moderator:
Huo mzigo hapo Yummy na wenzake wameulegeza hadi umepoteza natural shape, ina maana bibi shemeji huwa anabembea hapo?
Hehehehe! Ni vile huwajui wake zangu vizuri. Hapo Kongosho akiwapa maelekzo Yummy, cacico na BADILI TABIA namna ya kupia 5some siku walipokuja eapoti kunipokea baada ya kutokuwepo home kwa miezi mitatu. Ilinogaje?.

003.jpg
 
Last edited by a moderator:
Yaani mpaka hapa nilipo nimeshika kichwa maanake siamini kama kwa pointi zako zinavyokuwaga umemwagiwa misifa hivyo!!!!mi hata sikubali mi naandamana,sio siri liwalo naliwe.
Sasa hapo ulikuwa unaona aibu au unamringia Mentor

fm4.jpg
 
Ha ha ha ha ha Asprini bana
Sio makila saa unatakiwa kuwa ON BRAIN, kuwa OFF bRAIn ni nzuri sana

KRAAAAPPPPP OYEEEEE

LAbda uanzishe Umoja wa Krap JF.
Hahahaha.... Ukrapu na mabiyere... wapi Madame B. Mwambie akuye pande hii.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahah...babuuuuuuuu.....
samtaimz huwa nahisi kama unanifahamu kabisa yani..ni vile najipa moyo hunjui. Ungekuwa mod ningejua unani-follow kisecret...
Ni kweli sikujui ila nakufolo kimtindo. Mwenyewe siumestukia? Mi si unanijua? kama hunijui acha nikuonyeshe picha yangu...

mzee.jpg
 
Hayo ndo matamu ujue.....yanawapunguzia mastress. Sasa tunasheherekea wapi haya maujiko mume wetu? na unataka wakezo tuje tumevaa nini?weka na picha kwa msisitizo

Si ni kawaida za kuogea! Da' Yummy umekuaje wauliza Uduvi ferry ?
Maoni yangu muwahi huko ku'seremoni manaake Babu, tangu juzi hatoki kwenye Sredi ya Wheelbarrow! So atakua na mhamasiko toshelevu, kumipokeeni ikibidi kwa Wheelbarrow kama sikosei .
 
Back
Top Bottom