Ingekuwa kama TWITA

Okay madam hukumbuki, safi. Ulidhani nipo wapi namo nimejiunga NDC? Ndo ivo kaa mbali na Asprin

Mie niko mbali nae sana tu tatizo Asprin ni mchokozi sana na wakeze wanamuendekeza ukishtaki wala hawajali ndio kwanza wanamwambia aendelee.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaaaa! Yummy umenimaliza kabisa! Una muendekeza na kumdekeza sana huyu mume wenu ndio maana hatulii! Ngoja nisubiri labda best yangu cacico atanisaidia. Lol!

Bila kumbembeleza shosti unafikiri mambo yataenda wangu?

mwaJ kam zis way akukague ndio utatuelewa kwa nn tunang'ang'ania hapo!

Haya mwaJ popote pale ulipo, njoo soma material ya my darling wives afu ukuje panda hii nikufanyishe mtihani nione kama umeelewa na umefaulu............ kam zis way now now!
 
Last edited by a moderator:
We umepotelea wapi wajameni, mbona umekua adimu kama ****** ya panya?!

ujue mama amerudi Yummy! nabanwaje sasa?? kazi mimi na mama mimi! ni kasheshe! ila MUNGU ni mwema anaendelea vema!

Ooh my luv, nashukuru kusikia hivyo......Mungu ni mwema na anasikiliza maombi yetu,tuzidi kumuomba.

Love u mwaaaaah

Yeah...
Dear My And Our Lord, I and We Pray For My Mama In Law To Get Well Soon!!..... I And We Pray Again and Again and Again....:amen::amen::amen:
 
Poa nimekubali.

Umekubali nini msiri wangu mwaJ?

Hee! Na wewe Kaizer nawe! Kumbe upo huku! Wala hata sikumbuki nimekubali nini! Ha ha ha haaaaaaaaaaaaa!

Okay madam hukumbuki, safi. Ulidhani nipo wapi namo nimejiunga NDC? Ndo ivo kaa mbali na Asprin

Mie niko mbali nae sana tu tatizo Asprin ni mchokozi sana na wakeze wanamuendekeza ukishtaki wala hawajali ndio kwanza wanamwambia aendelee.

Okay usishtaki kwa Yummy BADILI TABIA wala cacico Nambie mm. Okay?

Okay, msiri wangu. I got you.

ODM akaangalia juu akapaza sauti akisema mwaJ.... MwaaJeei, Mbona umeniacha?
 
Last edited by a moderator:
hubby leo sio zamu yangu??
Hivi siku hizi hata wewe unaulizia nywele saluni? hebu kam zis way achana na longolongo mingi.

Mi miss u veri machi, and I knoo yu knoo it.:A S kiss::A S-heart-2::busu:welcome::focus:
 
ODM akaangalia juu akapaza sauti akisema mwaJ.... MwaaJeei, Mbona umeniacha?

Ha ha haaaa haaaaaaaa! Asprin me like you sana! Msiri wangu Kaizer inabidi sometimes unisamehe bure! Ila usihofu nimefurahishwa tu na maneno yake, wala siendi huko anakoniita.
 
Last edited by a moderator:
Haya mwaJ popote pale ulipo, njoo soma material ya my darling wives afu ukuje panda hii nikufanyishe mtihani nione kama umeelewa na umefaulu............ kam zis way now now!

Nope! I won't come. Kaizer kanionya nikae mbali na wewe.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaaa haaaaaaaa! Asprin me like you sana! Msiri wangu Kaizer inabidi sometimes unisamehe bure! Ila usihofu nimefurahishwa tu na maneno yake, wala siendi huko anakoniita.
Basi hilo cheko nikiangalia na avatar yako.... mie huyooooo toilet na kasabuni kangu. Khaa!
 
Basi hilo cheko nikiangalia na avatar yako.... mie huyooooo toilet na kasabuni kangu. Khaa!

Shauri yako! Wewe jiamini tu, kuna siku utashangaa unajikuta una talaka 9 mkononi! yaani 3 toka kwa kila mke.
 
Back
Top Bottom