inauma sana........

inauma sana........

Baba V hebu angalia huyu mutu anavyotaka kuharibu ndoa yangu... kisa yake imemshinda... hivi hakuna kamati inayoshughulikia watu km hawa???[/QUOTE
Hakuna uongo uongo unaoweza kumuangusha mtu mwema, kama ni kwa nia mbaya, WATASHINDANA NAWE HAWATASHINDA
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ungejua mie point5 la kigiriki na kisukuma hata usingesema, unadhani charminglady kazimikia nini kwangu? mie hybrid kaka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kuna nani kinaendelea hapa?

my wife wangu kuna mtu anasema maneno mengi hapa kama amemeza redio ya mbao
eti mimi na wewe tunapigana kila siku wakati hawajui maana ya kupigana
My wife nuiikuletee ile wine yako unayoipenda
 
my wife wangu kuna mtu anasema maneno mengi hapa kama amemeza redio ya mbao
eti mimi na wewe tunapigana kila siku wakati hawajui maana ya kupigana
My wife nuiikuletee ile wine yako unayoipenda

Ha ha ha ha umenichekesha sana wewe Wine ile ya Sunday ndo poa.............(Acha kunibembeleza kijanja umeniudhi ujue)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom