allllaaaaa basi scan besi setifiketi zenu uzipesti hapa tujue mko dabo dabo.Taarifa nilizozipata kutoka kwa bishanga kwa kweli zimenisikitisha,ningependa kwanza wote mfahamu kuwa mimi nipo na pacha wangu ambaye ukituona unaweza kutufananisha sasa nina wasiwasi yaweza kuwa ulimuona yeye .
wamezidi aisee,sa hizi mi sijui The secretary yuko wapi,kaniaga anaenda kanisani asubuhi ndo mpaka sa izi.Wanawake wa humu ndani wanapenda sana kucheat
Mmmm....umbeya tu mwanaume kama kawaida yako.
yuko wapi,mbona kawa bubu wa keyboard,C6 ninayemjua mie?
Hapa kuna nini?
Umbea wa kiume au Wivu wa kike?
I will be back...
Sii six ataua mtu leo,we subiri,bishanga ndo nshakaanga mbuyu nasubiria wenye meno wale ( source: marijani shabani _RIP).
Umeona eeeehhh... yan we ngoja tuje tumvike Dera huyu hajakoma ati!!!!!!!!