inauma sana........

hivi Baba V ukiitwa mmbeya utakataa
Hapa mambo ya sweetlady na Mr Rocky yanakuuma sana aise
Tuache bana tukiiba ni sisi wenyewe hata nitonye anajua kuwa kuna kuibiwa mradi hajamshika mhusika Dena Amsi nae katulia na ndoa yake wewe waitolea laana kila siku
Mwaaaa!

Mwaaaa!

Mwaaaaa!

Mwambie pilipili asiyoila yamuwashia nini? Atukome na atutue kama tui la nazi! Zaidi sana yatamshinda manake hayamuhusu!
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaa!

Mwaaaa!

Mwaaaaa!

Mwambie pilipili asiyoila yamuwashia nini? Atukome na atutue kama tui la nazi! Zaidi sana yatamshinda manake hayamuhusu!

Futa futa haraka hapo wasione wale akina Baba V na mwenzake Bishanga na Filipo maana watachonga mpaka basi
Mwaahhhh
mwahaaaa
mwahhaaa
 
Last edited by a moderator:
Mwaaaa!

Mwaaaa!

Mwaaaaa!

Mwambie pilipili asiyoila yamuwashia nini? Atukome na atutue kama tui la nazi! Zaidi sana yatamshinda manake hayamuhusu!

sweetlady! We endeleza hako kauzanga kako,siku nikikuletea ngariba Kongosho akufanzie ndo utashika adabu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom