Zawadi nzuri sana kwa Jumamosi ya leo

Zawadi nzuri sana kwa Jumamosi ya leo

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,117
Reaction score
28,257
Hakikisha ua hili halikosi nyumbani kwako, chumbani kwako, ofisini kwako na darasani kwako!

1. Hili ua ni dili sana. Kwa kizungu linaitwa Snake Plant na kwa utani linaitwa (Ulimi wa Mama Mkwe) kwa sababu ya nguvu yake ya kuzuia watu kukusema vibaya!

2. Kusemwa vibaya kila unakopita hiyo ni nuksi! Kuiondoa kaa karibu na (Ulimi wa Mama Mkwe), wanaokusema vibaya wataanza kukuchekea wenyewe.

3. Ni mmea wa ajabu sana. Unakimbiza laana, gundu na balaa zote zimezokuganda kama figo.

4. Upande pembeni ya mlango wa kuingia ndani ya nyumba watu wabaya wakifika kwako watababaika sana, hawatakaa, wataaga!

5. Unaambiwa nyumba yenye Snake Plant wachawi na walozi hawakanyagi.

6. Huko Brazzili wanaamini ni mmea wa kufukuza evil spirits zote. Wanauita St. Geroge Sword, yaani Jambia la Mt. George.

6. Wachina wanaamini anayepanda na kutunza mti huu anapata thawabu nane yaani (eight virtues) ambazo ni maisha marefu, utajiri, akili, uzuri, ubunifu, afya njema na ujasiri.

7. Wakati NASA wanafanya utafiti wa kuondoa sumu chafu angani walibaini Snake Plant inauwezo huo. Unafyonza hewa zenye sumu kama kaboni na kusambaza oxgen muda wote.

8. Kisayansi inapofika usiku mimea hutoa hewa ya kaboni, lakini Snake Plant inatoa oxygen muda wote ndiyo maana NASA wanashauri tuuweke vyumbani, sebuleni na maofisini kwetu.

9. Nenda ikulu zote kubwa duniani upoo; hoteli kubwa zote upoo, kwenye sebure za matajiri na viongozi upo, kwenye ofisi za viongozi wakubwa na matajiri upoo.

10. NASA wanasema having plants in your bedroom can help you deal with stress, depression, anxiety, and other related issues.

11. Chukua chungu, au ndoo, au chombo chochote, weka udongo, maji kidogo panda hii kitu weka chumbani kwako karibu na kitanda upunguze kuamka asubuhi umechanganyikiwa.

12. Ule usingizi wa kuota unakabwa na wanaokudai na maluweluwe mengine utasahau.

12. Huhitaji kuwa nayo mengi ndani ndiyo uone miujiza, kamoja tu kanatosha.

13. Kuna mtu asubuhi anaamka na mudi kweli, hataki kuongea na watu, yaani ni mwehu kabisa, anapata nafuu kuanzia mchana mchana. Huyu ni adui. Weka mti huu chumbani kwako utakaa sawa.

14. Weka kamoja sebuleni, kamoja chumbani tosha. Huhitaji kukamwagilia kila siku. Mwagilia hata mara moja kwa mwezi. Kanajimwagilia kenyewe!

15. Mmea huu unaongeza mzuka wa kufanya kazi na uzalishaji. Hakikisha unakuwa nao sehemu ya kazi.

16. Kukaa karibu na mmea huu walau kwa saa moja kila siku utaongeza kiwango chako cha kukumbuka.

17. Maana kuna watu wanasahau nyie mpaka siyo poa. Akiweka kitu pahali hakipati. Anaenda kazini muda wa kurudi haoni ufunguo wa gari. Mnatafuta mpaka😀😀.

18. Mama anapiga watoto kila siku haoni vyombo jikoni. Akimaliza kupika hakumbuki kisu kiko wapi, chumvi iko wapi, kijiko kiko wapi. Imagine mtu anapoteza mpaka kitunguu😀.

19. Mwingine anafuta pochi yake yenye hela mpaka mnamuonea huruma. Aliishawashuku nyote mmemuibia. Baada ya siku tatu anaiona juu ya kabati alikoiweka😀.

20. Jenga mahusiano mazuri na mti huu. Ni rafiki mwema. Ukikaa karibu yake hujisikii kuwa boadi.

21. Snake Plant inawezo wa kuondoa hewa zinazosababisha kansa angani kama vile toluene, xylene, benzene, na formaldehyde.

22. Tafasiri ya hayo isikusumbue. We jua tu mmea huu unasafisha anga.

23. Ni mmea unaopunguza stress na kukuletea utulivu wa akili. Ukiwa na ukaribu na huu mmea habari za kupaniki paniki kwa vitu vidogovidogo inaisha.

24. Kuna familia wao kitu kidogo ni kupaniki na kufoka tu. Baba anafoka. Mama anafoka. Dada wa kazi anafoka. Watoto wanafoka. Mpaka mbwa, kuku na mifugo yote inafoka. Hawa hawana utulivu wa akili. Wanahitaji kuzungukwa na ua hili haraka sana.

25. Unasumbuliwa na meno. Ng'ata huu mmea kutwa mara tatu, tafuna, tema, usimeze, utakaa vizuri.

26. Mmea huu una uwezo wa kumkinga mtoto na pumu. Hakikisha kanapolala katoto kuna huu mmea.

27. Una sikio linauma na kutoa usaha. Relax! Pondaponda hilo bapa la mmea huu kisha dondoshea matone mawili ya maji yake kwenye sikio kutwa mara tatu kwa siku kumi, kwisha habari.

28. Kwa tumbo kujaa gesi na kufyatua makomboa, chemsha mizizi yake halafu, kunywa kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu utakaa sawa.

29. Kwa shida ya minyoo sugu, unakula hushibi mwamba, chemsha mizizi yake, kunywa kikombe cha chai, kutwa mara tatu kwa siku saba.

30. Ukichemsha mizizi yake ukagonga unatibu hadi magonjwa ya zinaa unayoyajua😀. Kama Azouma tu!

31. Miguu inauma? Ina ganzi? Imevimba? Inawaka moto? Usikonde. Chukua bapa moja, pondaponda, kisha chemsha pamoja na chumvi ya mawe, anza kujikanda ikiwa na uvuguvugu kutwa mara 2 kwa siku 21 njoo uniambie.

32. Kama una moyo wa kuona kila kitu ni kibaya, walimwengu wabaya, maisha mabaya, kila mtu mbaya, huoni jema duniani, kaa na Snake Plant utaanza kuona wema wa watu na uzuri wa maisha.

33. Mungu alipotuumba alitukabidhi kila kitu ili kuyafurahia maisha sema tunajichanganya tu kwa sababu hatujui. Akili aliyoiweka Mungu ndani yako inakuwezesha kufanya kitu chochote na ukatoboa.
34.Kiazi chake huweza kutibu kisukari kwa baadhi ya watu,kinapochemshwa na kunywewa kama chai.
#Dr.Crocodiletooth.
1000003628.jpg
 
#Dr.Crocodiletooth.View attachment 3602027
Mmea wa Snake Plant, ni maarufu kwa mapambo ya ndani na kusafisha hewa, lakini una madhara fulani ya kiafya yanayotokana na sumu ya asili inayopatikana kwenye majani yake.

Mmea huu una kemikali inayoitwa saponin, ambayo hutumika kama kinga asili ya mmea dhidi ya wadudu lakini ni hatari kwa viumbe hai wengine iwapo itamezwa.

Madhara makubwa zaidi ya mmea huu hujitokeza kwa wanyama wa ndani kama mbwa na paka wanaopenda kutafuna mimea.

Wanyama hawa wakila majani ya Snake Plant hupata sumu inayosababisha utokaji wa udenda mwingi mdomoni, kutapika, kuhara, maumivu makali ya tumbo, na unyong'onyevu uliopitiliza unaoweza kuhatarisha usalama wao.

Kwa upande wa binadamu, hasa watoto wadogo wenye tabia ya kuweka vitu mdomoni, ulaji wa mmea huu husababisha changamoto za kiafya.
Kemikali ya saponin huleta muwasho mkali na kuvimba kwa ulimi na koo, hali inayoweza kuambatana na kichefuchefu, kutapika, na maumivu ya tumbo yanayohitaji uangalizi wa daktari.

Mbali na kumeza, utomvu wa Snake Plant unaweza kusababisha madhara ya nje ya mwili kwa watu wenye ngozi laini au mzio.
Utomvu huo ukigusa ngozi wakati wa kupandikiza au kupunguza majani, unaweza kusababisha upele, wekundu, na muwasho mkali wa ngozi, hali inayofanya matumizi ya glovu kuwa ya lazima wakati wa kuuhudumia.
 
Hakikisha ua hili halikosi nyumbani kwako, chumbani kwako, ofisini kwako na darasani kwako!

1. Hili ua ni dili sana. Kwa kizungu linaitwa Snake Plant na kwa utani linaitwa (Ulimi wa Mama Mkwe) kwa sababu ya nguvu yake ya kuzuia watu kukusema vibaya!

2. Kusemwa vibaya kila unakopita hiyo ni nuksi! Kuiondoa kaa karibu na (Ulimi wa Mama Mkwe), wanaokusema vibaya wataanza kukuchekea wenyewe.

3. Ni mmea wa ajabu sana. Unakimbiza laana, gundu na balaa zote zimezokuganda kama figo.

4. Upande pembeni ya mlango wa kuingia ndani ya nyumba watu wabaya wakifika kwako watababaika sana, hawatakaa, wataaga!

5. Unaambiwa nyumba yenye Snake Plant wachawi na walozi hawakanyagi.

6. Huko Brazzili wanaamini ni mmea wa kufukuza evil spirits zote. Wanauita St. Geroge Sword, yaani Jambia la Mt. George.

6. Wachina wanaamini anayepanda na kutunza mti huu anapata thawabu nane yaani (eight virtues) ambazo ni maisha marefu, utajiri, akili, uzuri, ubunifu, afya njema na ujasiri.

7. Wakati NASA wanafanya utafiti wa kuondoa sumu chafu angani walibaini Snake Plant inauwezo huo. Unafyonza hewa zenye sumu kama kaboni na kusambaza oxgen muda wote.

8. Kisayansi inapofika usiku mimea hutoa hewa ya kaboni, lakini Snake Plant inatoa oxygen muda wote ndiyo maana NASA wanashauri tuuweke vyumbani, sebuleni na maofisini kwetu.

9. Nenda ikulu zote kubwa duniani upoo; hoteli kubwa zote upoo, kwenye sebure za matajiri na viongozi upo, kwenye ofisi za viongozi wakubwa na matajiri upoo.

10. NASA wanasema having plants in your bedroom can help you deal with stress, depression, anxiety, and other related issues.

11. Chukua chungu, au ndoo, au chombo chochote, weka udongo, maji kidogo panda hii kitu weka chumbani kwako karibu na kitanda upunguze kuamka asubuhi umechanganyikiwa.

12. Ule usingizi wa kuota unakabwa na wanaokudai na maluweluwe mengine utasahau.

12. Huhitaji kuwa nayo mengi ndani ndiyo uone miujiza, kamoja tu kanatosha.

13. Kuna mtu asubuhi anaamka na mudi kweli, hataki kuongea na watu, yaani ni mwehu kabisa, anapata nafuu kuanzia mchana mchana. Huyu ni adui. Weka mti huu chumbani kwako utakaa sawa.

14. Weka kamoja sebuleni, kamoja chumbani tosha. Huhitaji kukamwagilia kila siku. Mwagilia hata mara moja kwa mwezi. Kanajimwagilia kenyewe!

15. Mmea huu unaongeza mzuka wa kufanya kazi na uzalishaji. Hakikisha unakuwa nao sehemu ya kazi.

16. Kukaa karibu na mmea huu walau kwa saa moja kila siku utaongeza kiwango chako cha kukumbuka.

17. Maana kuna watu wanasahau nyie mpaka siyo poa. Akiweka kitu pahali hakipati. Anaenda kazini muda wa kurudi haoni ufunguo wa gari. Mnatafuta mpaka😀😀.

18. Mama anapiga watoto kila siku haoni vyombo jikoni. Akimaliza kupika hakumbuki kisu kiko wapi, chumvi iko wapi, kijiko kiko wapi. Imagine mtu anapoteza mpaka kitunguu😀.

19. Mwingine anafuta pochi yake yenye hela mpaka mnamuonea huruma. Aliishawashuku nyote mmemuibia. Baada ya siku tatu anaiona juu ya kabati alikoiweka😀.

20. Jenga mahusiano mazuri na mti huu. Ni rafiki mwema. Ukikaa karibu yake hujisikii kuwa boadi.

21. Snake Plant inawezo wa kuondoa hewa zinazosababisha kansa angani kama vile toluene, xylene, benzene, na formaldehyde.

22. Tafasiri ya hayo isikusumbue. We jua tu mmea huu unasafisha anga.

23. Ni mmea unaopunguza stress na kukuletea utulivu wa akili. Ukiwa na ukaribu na huu mmea habari za kupaniki paniki kwa vitu vidogovidogo inaisha.

24. Kuna familia wao kitu kidogo ni kupaniki na kufoka tu. Baba anafoka. Mama anafoka. Dada wa kazi anafoka. Watoto wanafoka. Mpaka mbwa, kuku na mifugo yote inafoka. Hawa hawana utulivu wa akili. Wanahitaji kuzungukwa na ua hili haraka sana.

25. Unasumbuliwa na meno. Ng'ata huu mmea kutwa mara tatu, tafuna, tema, usimeze, utakaa vizuri.

26. Mmea huu una uwezo wa kumkinga mtoto na pumu. Hakikisha kanapolala katoto kuna huu mmea.

27. Una sikio linauma na kutoa usaha. Relax! Pondaponda hilo bapa la mmea huu kisha dondoshea matone mawili ya maji yake kwenye sikio kutwa mara tatu kwa siku kumi, kwisha habari.

28. Kwa tumbo kujaa gesi na kufyatua makomboa, chemsha mizizi yake halafu, kunywa kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu utakaa sawa.

29. Kwa shida ya minyoo sugu, unakula hushibi mwamba, chemsha mizizi yake, kunywa kikombe cha chai, kutwa mara tatu kwa siku saba.

30. Ukichemsha mizizi yake ukagonga unatibu hadi magonjwa ya zinaa unayoyajua😀. Kama Azouma tu!

31. Miguu inauma? Ina ganzi? Imevimba? Inawaka moto? Usikonde. Chukua bapa moja, pondaponda, kisha chemsha pamoja na chumvi ya mawe, anza kujikanda ikiwa na uvuguvugu kutwa mara 2 kwa siku 21 njoo uniambie.

32. Kama una moyo wa kuona kila kitu ni kibaya, walimwengu wabaya, maisha mabaya, kila mtu mbaya, huoni jema duniani, kaa na Snake Plant utaanza kuona wema wa watu na uzuri wa maisha.

33. Mungu alipotuumba alitukabidhi kila kitu ili kuyafurahia maisha sema tunajichanganya tu kwa sababu hatujui. Akili aliyoiweka Mungu ndani yako inakuwezesha kufanya kitu chochote na ukatoboa.
34.Kiazi chake huweza kutibu kisukari kwa baadhi ya watu,kinapochemshwa na kunywewa kama chai.
#Dr.Crocodiletooth.View attachment 3602027
Leo ni Sabato Kwa Wasabato, Hilo ya linawafaa sana!
 
Back
Top Bottom