inauma sana........

inauma sana........

Naona mambo ni makubwa, ngoja tusubiri kitakacho endelea

Sii six ataua mtu leo,we subiri,bishanga ndo nshakaanga mbuyu nasubiria wenye meno wale ( source: marijani shabani_RIP).
 
Kuna mambo sio kidogo kaka Rejao !

Mi mzima ndugu yangu, khofu kwako tu kaka mpendwa ! Vipi huu si ndio ule mwezi wetu wa kukutana home kwa shangazi eeh?
Mi nipo pouwa kabisa...
Bado kidogo tu tuwe wote..umemuandalia nini shangazi?
 
Last edited by a moderator:
Mi nipo pouwa kabisa...
Bado kidogo tu tuwe wote..umemuandalia nini shangazi?
Nafurahi kama uko pouwa kaka Rejao...tuombe uzima mwaya wakati wa kuchinja umekaribia lol...


Kama unavyomjua shangazi huwa anapenda vitenge hivyo nishamnunulia vya kutosha... Afu na wewe uliniahidi zawadi this time eeh, usisahau kaka !
 
Last edited by a moderator:
kuona wanawake mnavyotutenda. Just imagine nikiwa bukoba club jana nimemwona Chimbuvu anaponda raha na charminglady,poor C6 anatia huruma maskini,kumgharimia kote charminglady kisha anafanziwa.

Bishanga unantaka naona unantaka saaana tena saaana!!! kisa cha kunizushia uongo ni nini??? for ur info utatafuta sana kuivunja ndoa yangu lakini hutoweza..... USHAZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HUTOVIWEZA KAMWE!!!!

My hezbend C6 plz come this way achana na huyo kibwengo asijetuharibia ibada yetu bure.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom