inauma sana........

inauma sana........

Kumbe siku hizi humu kuna mambo eeh! Ngoja niweke kambi hapa ili nizifahamu kapo mpya!! Mzima weye lakin?

karibu sana kaka Rejao habari ya siku nyingi? wapi Cantalisia? tayari ana bebi?
 
Last edited by a moderator:
wapi uncle Bishanga? vipi machungu ya ule mkasa wa arusha yaliisha? maana naona unajigusa vidonda! msalimie liz popote alipo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nini tena CL umenistua mwenzio nilikuwa darasani kwa mwalimu natalia!amesema tuwe nyuki hivo!wenzio wote tuko huko

mmmhh shost pole mwaya kwa kukuharia pozi... yan huyu Bishanga hajakoma ati!!!!!
 
Last edited by a moderator:
yaan mkuu we acha tu... Eti mimi nipo bedrest afu Bishanga ananzushia nimeonekana bukoba!!! Ka sio umbea wa kiume ni nini????
umbea ni kusema ukweli ambao hujatumwa useme kwa hiho unakubali ni ukweli?
 
Last edited by a moderator:
Bishanga Bishanga Bishanga Bishanga Bishanga watu wa kanyigo , kashai, muleba, maruku uwa hawana sifa ya umbea, sifa zao ni mashamba ya banana na lubisi, sasa wewe hizi sifa umezipata wapi wewe? acha kumzushia mamaa charminglady, tena kama hu7jui Chimbuvu kaja home kumjulia hali mama kijacho na kaniambia alimkuta
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom