Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,309
- 27,453
Wapo wengi, hao unaowasema wanaonekana na wenzao kama sio waislamu. Mm pia ninao Ila wanaonekana kama sio waislamuMimi ni Mkatoliki. Lakini marafiki zangu wengi ni Waislam. Tena wengine tumefikia hatua ya kuwa kama ndugu. Hao waislam wenye msimamo huu watakuwa wana matatizo bila shaka.