You say whatever you want to say but I do remember you sort of cosigning. Specifically sikumbuki title ya thread lakini majadiliano yalikuwa ni ukigeugeu (flip-flopping) wa Zitto. Ipo hapa sehemu...wenye muda kama wakitaka wataifukua.
Hahaaaa,
Kwanza umeanza confidently ukasema nime cosign.
Sasa polepole una backpedal unasema "sort of" cosigning, halafu sio tu huwezi kutoa link ya thread, hukumbuki hata title!
Kama huwezi kuproduce link mimi siwezi kujibishana zaidi na wewe, kwa sababu tutajibizana juu ya nini wakati mambo unayoyasema hata hekaya za Abunuwasi zina afadhali, maana hekaya za Abunuwasi unaweza kuzisoma ukajua maana yake, sasa wewe unakuja na kitu out of thin air halafu unategemea watu wa forum hii wakukubalie?
Kuna vitu vingi Zitto anakubaliana nami, kuna vingine sikubaliani naye.Haina maana nimecosign. Na hata nikikubaliana naye kwenye jambo fulani haina maana siwezi kumpinga kwenye jambo lingine.
Na Zitto fatigue haina maana Zitto ananikera, ina maana nimechoka kila siku kusikia habari za Zitto, ni kandya more towards wandishi than towards Zitto.
Kwamba nyie waandishi hamna kingine zaidi ya Zitto?
Kwa hiyo kama unataka kunionyesha nimeflip flop, theory yako haihold water.
After all, the true hallmark of a genius is to entertain two opposing ideas at the same time.
🙂
Not to say that I am a genius, at least not in so many words.I have you where I want you huh?
Now coming 360 degree, I did not cosign, and even if I said something that you perceived as cosigning it is quite possible that it was a simple agreement on a specific issue, and even if I truly did cosign you cannot show that, which amounts to no evidence, which amounts to I did not co sign.