zito mwenyewe keshakula pesa za RA anamuunga rashidi arudi tanesco na machine za Dowans.Ni mtu tena huyo? HABARI ZAKE ZINANITIA KICHEFUCHEFU HATA MIMIGuys,why don't you give Zitto a break!!!!!!,this Zitto issue imekuwa too much sasa,kila kukicha Zitto Zitto aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh,inaboa sasa!!
Mwenyekiti Mbowe , Slaa , Mtei , Kitila ,Masinde na wale wote wenye nia njema na Chadema tafadhalini sana nawaomba mjiangalie na muitane muelezane ukweli . Things are getting out of hands. Kuna habari nyingi sasa zime enea ikiwa ni pamoja Zitto kusakamwa kila kona .Waandishi wengi wa JF ni watu wa Chadema ambao ama wanawatumikia Mafisadi ama hawajui Siasa za Tanzania . Kutumia magazeti kuchafuana hakusaidii Chama ila unakizamisha Chama . Nina waandikia na kuwapausulia ukweli kwa mail zenu na tunataka Chadema yenye heshima mkubali kutofautiana lakini mfanye kazi pamoja .Ninao ukweli wote sasa na sitausema hapa nitawapia kwenye mails zetu wote .
Yes Zitto anataka kujiondoa kwenye uongozi wa Chadema na kubakia mwananchama na si kuondoka Chadema . Huu ni ukweli ma Mwanchi wameandika habari ni za ukweli . Ninathibitisha hili .
- Ukitaka kuharibu Demokrasia ndani ya chama cha siasa basi kazania kuita mapungufu ya uongozi wa chama cha hicho siasa kuwa ni siri za chama, wakati wewe huyo huyo hulali kutoboa mapungufu ya vyama vingine vya siasa,
- Chadema mjifunze maana ya damage control, na kama chama unaaanza kwa kutoa siri mwenyewe lakini in a very smart political way kwamba unakuwa kama hutoi, lakini kumbe unatoa ili ku-dilute nguvu ya mapungufu ya chama ambayo unakuwa umesha conclude with facts at hand through your intelligence means kwamba huna jinsi ni lazima hayo mapungufu ambayo sometimes we call it "siri za chama" yataishia kutoka to the public anyways kama ilivyo situation yenu sasa, it is only a matter of time yote yatakuwa nje!
- Chadema mnalichezea sana suala la huyu kijana Zitto, mnatakiwa kukaa chini na kupitia all the facts za what Zitto knows, and did katika muda wote aliokuwa na nyinyi kama chama cha siasa, kama anajua mengi machafu kuhusu chama then you make a deal na yeye Zitto, giving him what he wants kama anajua mengi na giving him nothing kama hajui mengi na ikibidi boot him out! Lakini kama anajua mengi sana kama dalili zinavyoonyesha so far, basi mnachezea moto ambao very soon utawaunguza vibaya sana,
- Kaeni chini na Zitto mmalize tofauti zenu, ama sivyo you will soon come to the realizations tena in hard way kwamba Zitto is an-important link ya kukua kwenu kisasa au kuporomoka chini, wangu ni ushauri wa bure tu! maana ninawasomeni sana mnavyojaribu kuliweka hili tatizo la Zitto under the rug lakini mnakwama sana na this ishu is not going anywhere soon!
- By the way, Komu ni nani huko Chadema? Can somebody answer me please!
Respect.
FMEs!
Whats new mtu kuondoka kwenye chama chochote, wengi mbona wamefanya hivyo katika historia ya vyama vya siasa ulimwenguni. Mwacheni huyo kijana kuchagua tack ya maisha yake mwenyewe, msimlazimishe njia mnayotaka nyie!!
Kuna watu wamevamia Chama . Kuna vijana nadhani wana mtizamo tofauti which is good ila kuwekeza visasi na kuweke mitego kummaliza Zitto hakutasaidia Chama hata siku moja . Tufike mahali we all come to our sense . Hakuna aliye mkamilifu lakini nadhani tuwe wakweli na kusema sorry ni jambo la kawaida kwenye watu wengi kama Chadema .Kama kuna kiongozi ndani ya Chadema yeye ni agent wa mafisadi na ameamua kuondoa matumaini ya Watanzania kuona Nchi yao inapata mwelekeo kwa michango kama ya akina Zitoo basi ajue hana nafasi .It is Time Ama Mbowe useme no na uunganishe Chama ama Chadema ife kwa sababu ya kuacha kuwakemea na hata kukataa kuweka makundi ndani ya Chadema .
1.mwalimu j k nyerere aliwahi kusema kuwa chama cha kweli cha upinzani kitatoka ccm,yaani pale itakapomeguka.na hili ndilo linalokuja....mkuu nimesoma mambo haya kupitia gazeti la leo mwananchi kama ndio hivi hawa wakina zitto wanatuhuzunisha sana katika siasa za tanzania na pia kama ni kweli basi aje yeye mwenyewe zitto hapa na kusema madai haya.. Maana mambo kama haya sisi kama wadau tunahuzunishwa sana
1.mwalimu j k nyerere aliwahi kusema kuwa chama cha kweli cha upinzani kitatoka ccm,yaani pale itakapomeguka.na hili ndilo linalokuja....
2.pima uone nccr ilipoanzishwa akina marando na wenzie,alipojiunga mrema nccr ikadorora mpaka leo na akina marando wakasepa
3.mrema alipomaliza kazi ya pale nccr akaenda kudororesha tlp sasahivi na chenyewe hoi
4.muulize mrema wapi na lini alrudisha kadi ya ccm kama utajibiwa
zito nae ni walewale tu
1.mwalimu j k nyerere aliwahi kusema kuwa chama cha kweli cha upinzani kitatoka ccm,yaani pale itakapomeguka.na hili ndilo linalokuja....
2.pima uone nccr ilipoanzishwa akina marando na wenzie,alipojiunga mrema nccr ikadorora mpaka leo na akina marando wakasepa.
3.mrema alipomaliza kazi ya pale nccr akaenda kudororesha tlp sasahivi na chenyewe hoi
4.muulize mrema wapi na lini alrudisha kadi ya ccm kama utajibiwa
zito nae ni walewale tu
Tatizo ni vyombo vya habari Tanzania ndio wanayakuza mambo haya kila siku
Jamani nimeona article inayosema Zitto yuko mbioni kujiuzulu Chadema katika Mwananchi! Cha kushangazwa article hiyo wameitoa ghafla! Sasa najiuliza kulikoni?
Jamani nimeona article inayosema Zitto yuko mbioni kujiuzulu Chadema katika Mwananchi! Cha kushangazwa article hiyo wameitoa ghafla! Sasa najiuliza kulikoni?
Guys,why don't you give Zitto a break!!!!!!,this Zitto issue imekuwa too much sasa,kila kukicha Zitto Zitto aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh,inaboa sasa!!
Yani mpaka inakera sasa, Nahisi hawa jamaa journalists wa TZ wamekosa habari. Maana za Ufisadi sijui zimechakaa?
Nyie hapo juu ni unafiki unawasumbua eti too much kuhusu Zito! Kama uanaona too much hujalazimishwa kusoma au kuchangia ebo! Ukiona jina la Zito msifungue hiyo thread hivyo mtakwepa kero. Umeshaona jina la Zito halfu unaenedelea kusoma na kuchangia halafu uanatka kutuaminisha kuwa unakera. PuliziiiiiMods kama vp hii iunganishwe na hii https://www.jamiiforums.com/uzushi/46060-zitto-atembea-na-barua-ya-kujiuzulu-chadema.html hizi thread za Zitto na CHADEMA mpaka zinakera sasa
Well said mkuu,kwa nini SLAA HAJAANDIKWA?
ZITTO ANAVUNA ALICHOPANDA,
MIMI SIONI SABABU YA KUTOANDIKWA HABARI ZAKE AU CHADEMA HUMU JF, wakati alipokuwa kwenye peak kila mtu alikuwa anaona kuandikwa Chadema au Zitto ni sawa tu, lakini sasa inaonekana inauma.
Fallacy jisemee wewe pekee kuwa uko nyuma yakeMh. Zitto tuweke sawa, unajua sisi wote tupo nyuma yako????????????
MIsfrika divyo ati mtua hawezi kufa hafi bila kuhusisha mkono wa mtuMambo CHADEMA yalianza kuharibika wakati wa Wangwe...Mlitakiwa m salve wakati ule, sasa its too little too late.