Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 91
Agreed, but if we are not careful... we gonna be dumber than them, especilly by wasting our valuable time on kafulia na jujuman!!
Just tired these IFMTNS.Zitto ,Kafulia who are they?
kama MBOWE ATAKUFA KIFO CHA MENDE.Mkuu kigogo naonatumepishana kidogo katika ujumbe wangu, Zitto si zaidi ya tasisis na bila chadema yeye ni mtu wa kawaida tu! Kimsingi naona hawa ndugu waliojiunga na NCCR bora wametoka ili chadema iweze kofocus on longterm goals. Ilimradi chama kikiwa na maadili, wanachema patriotic and legitimacy, ipo siku moja tuu kitachukua madaraka. Kina George Washgton walijitoa sana kulijenga taifa la marekani. They were never driven by individually motivated intersts. Nyerere was never driven by individual interests. Historian inaonesha watu wanaoendeshwa na maslahi binafsi hufa kifo cha mende.
Zito ni mwanasiasa na pia ni philosopher,itakuchukua muda mrefu sana kumuelewa hasa kama uwezo wako wa kuelewa ni mdogo,Nakushauri mtoa hoja ukaacha kumjadili Zitto badala yake tujadili matatizo yetu ya msingi yanayotukabili Watanzania.
Mafisadi wajanja tayari wamesha teka fikra za waTZ nakuanza kuegemea kwenye nonsense kama hizi Kafulila ni nani katika Taifa hili???? mpaka watu mnahamishie mawazo huko na kuwaacha kuwabana mafisadi wanao chekelea kuona mmesha tekwa mawazo yote yapo kwa Kafulila mara Zitto mara Chadema story zinajirudia rudia.
umegundua kama kanjanja kama alivyo willy edwardwaandishi wengine bwana!!! Hivi utamuelewaje zitto wakati wewe mwenyewe hueleweki?
Hii nchi imejaa vituko kweli ,kila kona kuna vituko,yaani huyu kibano sijui kinabu,kinabo kaamua kuonyesha wazi wazi ni jinsi gani asivyojua kazi yake.acha longolongo vibaraka nyie.
huyu KAFULIA ni kama virus kwenye upinzani, am sorry to say that...
Yaani we mwandishi ni mpuuzi kweli kweli.
Hivi nyie tz daima kwanini hamna hata chembe ya aibu?Kafulila keshajiondokea zake kwenda nccr lakini hamjaridhika tu bado mnaendelea kumfuata fuata. Nadhani mmetumwa kumgombanisha na swahiba wake zitto na hiyo kazi mnaifanya kwa bidii kweli kweli. Lakini hii yote ni kutaka kummaliza kijana wa watu, muacheni kafulila na nccr yake mnamtafutia nini?Chadema mjipange vizuri na huyo mgombea wenu muslim hassanary akapambane na kafulila msianze kuweweseka saa hizi na kumuandama kijana wa watu. Nyie mlimuona sisimizi kaamua kujiondokea zake. Kajiunga nccr ghafla amegeuka kuwa tembo, sasa anawanyima usingizi. mtachonga sana mwaka huu, mtaandika udaku mpaka mkome. Kama bado mnamuhitaji si mkamuombe tu msamaha muyamalize arudi kundini, hizi siasa za chuki mnazoziendesha hazitawasaidia chochote zaidi ya kuzidi kuwashusha hadhi yenu mbele ya watanzania.
Shame on you tz daima!!