Kwani wewe ulivyotaka kuonana na yule unayemuita shoga ulitaka umpe nini kama sio m....hhhh tena bureWeeehh yan anakupa M...uhhhhh sio mimi loh, sasa mnasbir nn kuoana
M i mean million try to thnk positive sometimeKwani wewe ulivyotaka kuonana na yule unayemuita shoga ulitaka umpe nini kama sio m....hhhh tena bure
Sasa mimi nilikuwa nimechoka kiukweli na yeye kwa sehemu amenisaidia sana....ola basi tu no way outM i mean million try to thnk positive sometime
Niliwahi kukutana na mkaka mmoja hivi ambaye tulijuana kwa kukosea namba. Me ndo nlikosea akaomba tuendelee kuchart, tuliwasiliana kama 1 year ( ifahamike tulishindwa kuonana kutoka kupisha kwa ratiba zetu especially Mimi nlikuwa kident[emoji23]). Tukapanga kuonana jamaa aka propose sehemu local sana alafu sio mbali na mtaani kwetu. Duuuhh! jinsi nlivoenda na jinsi nlivomkuta ilibidi nitoke ndukii ya hatari,,,jamaa kajipangaa haswa alikuwa vizuri alaf mimi sasa nlienda kawaida kama naenda kibandani kununua mboga
Ukaenda kutoa mahali?Mi nilchart na mdada mmoja wa iringa.siku zilivoenda akaniambia yuko bukoba.
Nikamwomba tuonane mwanza, ukweli alikuja ila duh nilivyomuona ananizidi Kiwango
Cha uzuri!
Nlimpeleka kigesti flani hiv nje ya mji. Alivosaula nguo zote wakat wa kutaka Kum... t.. O.... MBA. Ngoma ikasinyaa!!! Binti alilia sana.
Tulilala hivohivo mpaka kesho yake ambapo binti alitaka tujaribu!!!
Meeeeeeeeeeeenn mlingoti Ulikuwa unatema wazungu ila haulali!!
Mpaka saa 9 mchana alikuwa keshaloweshwa six!!!! Times
Baada ya hapo binti alitangaza ndoa.
Nakaribisha maswali
Naomba na mimi tuchatiMimi huwa nikiwasiliana na mtu kwenye mtandao. Zaidi ya wiki maana yake nimemwelewa. Hata itokee atakuja yupo chongo sijui aje mimi huwa simwoni kama ni mbaya. Kwa sababu uzuri wa mtu si kitu cha muhimu mtu awe anajielewa. Tutaendelea kuwa marafiki
Hahaha ilikuwa ngumu kwa siku ile, nilikuwa na mdogo wangu tumetoka church..Mkuu mtoto mtamu uyo hakupiga show ya kibabe skuiyo
Ilikuwa mapema sana kufika huko..Vp ile amri ya sita mlifanikiwa kuivunja?
nimecheka sana mkuuMimi miaka kama minne hivi au mitano..kuna Dada mmoja wa moshi pia ni mwalimu wa sec...alikosea namba kwa smc... Niko elimu ya watu wazima nimechoka mbaya. Tukaendelea kuwasiliana kama miezi mitano...akaamua kuja kwa gharama zake hadi Mwanza..aisee ni mzuri yaani Toto la kichanga na ndio homa wangu.alipitia Dodoma baada ya kutoka tanga...alipofika mida ya SAA NNE hivi tukaenda hotelini.tukapinga shoo ya hatari kama siku tatu na gharama zote zake,baada ya hapo mimi nilienda rombo kwake kwa mda wa wiki mbili...haikupita mda akachukuwa mkopo akanipa milioni moja nikaanza biashara....ukweli tunapendana hadi Leo ila sijui kwa nini hatuachi kukosana ili Tuoane kabisa...
Hongeraaaa,,kaka msalimie shemuShukra kubwa kwa Kipindi cha kutafutana Radio ONE ilikua mwaka 2003 binti anamtafuta baba yake kaweka namba hewani,nikampigia kujifanya kumpa pole na fix za huruma hapa na pale.
Nilikutana nae 2004 Arusha, nikafunga nae ndoa 2006 hadi Leo niko nae tuna watoto watatu firstborne yupo darasa la nne.
Kama alikua nzuri au mbaya hiyo ni siri yangu.
We ulijua umempata mgegedaji mpya uwanja wa ugenini kumbe ni mwenzako tatizo yeye anatumia unauthorized partSitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Duuuu Kumbe na na nyinyi wanawakw Hamjiaminii?Niliwahi kukutana na mkaka mmoja hivi ambaye tulikuwa juana kwa kusea namba. Me ndo nlikosea akaomba tuendelee kuchart, tuliwasiliana kama 1 year ( ifahamike tulishindwa kuonana kutoka kupisha kwa ratiba zetu especially Mimi nlikuwa na dent[emoji23]). Tukapanga kuonana jamaa aka propose sehemu local sana alafu sio mbali na mtaani kwetu. Duuuhh! jinsi nlivoenda na jinsi nlivomkuta ilibidi nitoke ndukii ya hatari,,,jamaa kajipangaa haswa alikuwa vizuri alaf mimi sasa nlienda kawaida kama naenda kibandani kununua mboga
Oa kabisa walimu wengi wapo humbleMimi miaka kama minne hivi au mitano..kuna Dada mmoja wa moshi pia ni mwalimu wa sec...alikosea namba kwa smc... Niko elimu ya watu wazima nimechoka mbaya. Tukaendelea kuwasiliana kama miezi mitano...akaamua kuja kwa gharama zake hadi Mwanza..aisee ni mzuri yaani Toto la kichanga na ndio homa wangu.alipitia Dodoma baada ya kutoka tanga...alipofika mida ya SAA NNE hivi tukaenda hotelini.tukapinga shoo ya hatari kama siku tatu na gharama zote zake,baada ya hapo mimi nilienda rombo kwake kwa mda wa wiki mbili...haikupita mda akachukuwa mkopo akanipa milioni moja nikaanza biashara....ukweli tunapendana hadi Leo ila sijui kwa nini hatuachi kukosana ili Tuoane kabisa...