jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
ndo namshangaaaWee muache tu,
itazuka vita ya tatu ya dunia sasahivi..
ndo namshangaaaWee muache tu,
itazuka vita ya tatu ya dunia sasahivi..
Stunter unataka kumdanganya na huyu tena? na yule wa kule Chitchat?Wee muache tu,
itazuka vita ya tatu ya dunia sasahivi..
Huyo wa chitchat ndo nani?Stunter unataka kumdanganya na huyu tena? na yule wa kule Chitchat?
Hebu nizuieni kabla sijaenda kumvamiando namshangaaa
Umenza kumkana? nenda kule kule fungua Uzi flani hivi kilamwanamke ataje mwanaume anaempendaHuyo wa chitchat ndo nani?
bae usiende bhana hizo nguvu hebu eka reserve kwa ajili ya weekend hiiHebu nizuieni kabla sijaenda kumvamia
duuuhakuache mwambie ulikuwa unatania
Hehehe, Mahabbatakuache mwambie ulikuwa unatania
Cant wait to hold you downbae usiende bhana hizo nguvu hebu eka reserve kwa ajili ya weekend hii
Teh Teh Teh Teh Teh Teh. Team andunje hoyeeeeeeeEnzi hizo nilishawahi kukutana na mtu humu JF, baadae tumeshaondoka eneo la tukio akaniambia yeye hawezi kudate watu wafupi kama mimi!
Dah, wanaume wafupi tuna kazi sana.
Teh Teh Teh Teh Teh Teh. Team andunje hoyeeeeeee
[emoji23][emoji23]mm mrefu sana jamaa alikuwa anduje mnoHa ha ha, ndo hivyo, sasa sijui sisi wafupi mnataka twende wapi. Bora hata kitambi naweza fanya diet kikaondoka, ufupi nitaufanyaje?
sasaje? sisi huwezi kututenganisha loooohduuuh
[emoji23][emoji23]mm mrefu sana jamaa alikuwa anduje mno
Yes dogo. Ndio maana nimejikuta nacheka kama vile natekenywa.Nakumbuka nishawahi kukusimulia hii!
Unanichekesha sana raymundoNgoja tusubiri andunje wenzetu, maana ndo mshaamua kutubagua.