Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

ha

halafu nilikuwa sijakusoma vzr, kwa msg yako unamaanisha mie sio wa ukweli ama? STUNTER kuja mthibitishie
Chanda chema huvishwa pete/ Basi penda nikupende, mi nikuvishe darling
Hongera ya punda mateke/ So nisije nikakupenda ukanitupa mbali
Aa sitosema hadharani ila moyoni nitaumia/
Oh zile raha za chumbani nikianza fikiria
.
Mmh najua watasema mengi Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unajua hawapendi? Lengo lao ooh
 
Behaviourist njoo uone menyewe
Zidisha mahaba niteke/ Tena nipe vya akiba ulovitunza ndani
.
Moyo upate maseke/ Nisahau hata shida zote za zamani
.
Aa tena fanya hadharani ili wazidi chukia /
.
Aa fanya hima natamani, muda wao umewadia
.
Mmh najua watasema mengi Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unajua hawapendi?
Lengo lao ooh
 
Haya mambo wakati mwingine ni magumu. Nikawa nawasiliana na binti mmoja "moto". Yaani tunaongea masaa kwenye simu zile za tochi mpaka siku zingine ananiambia eti ngoja leo nikulaze naimbiwa vinyimbo vitamu, naelezwa anavyonitamani yaani mzuka balaa. Hatimaye siku ya siku ikafika tukutane yeye anatoka Bagamoyo kuja pale Mlimani. Uwii kumbe ni mmama anayeweza hata kunizaa kabisa. Nikampeleka kwenye kamkahawa fulani pale karibu na kituo cha polisi. Japo alikuwa mweupe na mtako wa kufa mtu lakini sikuwa na mzuka tena kutokana na umri wake. Wakati nampa nauli ya kurudia Bagamoyo nikamuona analia. Kumuuliza vizuri ndo ananiambia yeye ni mwathirika wa UKIMWI na anaomba nimsaidie. To cut the long story short niliendelea kuwa rafiki yake na nilikuwa namtumia vihela vya matumizi kila inapowezekana na alikuwa anamtuma binti yake. Mpaka alipozidiwa akalazwa Muhimbili nikaenda kumuona analia na kunishukuru mno. Hata alipofariki kwenye mazishi yake ndugu zake wananiangalia na kunipa heshima sana. Binti yake alitaka kweli tuwe marafiki lakini nilimkatalia kata kata na hatimaye tukapotezana.

Mkasa huu ulinifundisha mambo mengi na hata kunifanya kuwa binadamu bora zaidi na leo hii passion yangu maishani ni kusaidia watu wasiojiweza kabisa kabisa moja kwa moja. Huko ndiko huwa namalizia disposable income yangu na ni tabia inayoliwaza moyo sana na kuleta ridhiko la kweli. Naamini Mungu Alimtumia yule mama ili kunifundisha kitu na kuyabadilisha maisha yangu. Na kuanzia wakati huo sijawahi kukutana na mtu tunayewasiliana mtandaoni tena!
daaaaaaahhh pole na hongera pia kwa huo moyo
 
Haaaa, mm nilikua na chat na bibie flan. Niliiba namba yake kwenye group flan la whatsapp.
Tukaanza kuchat mara kuongea, kuonana, nilistuka sana. Kiukweli sijawahi kuona binti mrembo kama yule, akaniambia Mora amemuonesha mm ndio mme wake.
Nikatuma majeshi anaposoma, anapofanya kaz na anapokaa, wakaleta taarifa yupo Poa.
Mwaka huu tunafunga ndoa baada ya kukaa mwaka kwenye mahusiano
hongera
 
Wanawake wameisha mtaani kwako mpaka usalandie wanao wrong number?.....udomo zege una taabu sana jaman.

Wengine huwa wako mawindoni wakipiga namba yoyote.anapopokea mwanaume ndipo wanapojilengesha.
 
Mi nilchart na mdada mmoja wa iringa.siku zilivoenda akaniambia yuko bukoba.
Nikamwomba tuonane mwanza, ukweli alikuja ila duh nilivyomuona ananizidi Kiwango
Cha uzuri!
Nlimpeleka kigesti flani hiv nje ya mji. Alivosaula nguo zote wakat wa kutaka Kum... t.. O.... MBA. Ngoma ikasinyaa!!! Binti alilia sana.
Tulilala hivohivo mpaka kesho yake ambapo binti alitaka tujaribu!!!
Meeeeeeeeeeeenn mlingoti Ulikuwa unatema wazungu ila haulali!!
Mpaka saa 9 mchana alikuwa keshaloweshwa six!!!! Times
Baada ya hapo binti alitangaza ndoa.
Nakaribisha maswali
Wewe kiboko. Kwa hiyo alikusurprise mpaka nguvu zikaisha?
 
Zidisha mahaba niteke/ Tena nipe vya akiba ulovitunza ndani
.
Moyo upate maseke/ Nisahau hata shida zote za zamani
.
Aa tena fanya hadharani ili wazidi chukia /
.
Aa fanya hima natamani, muda wao umewadia
.
Mmh najua watasema mengi Tafadhali usikiize
Si unajua hawapendi?
Lengo lao wakuumize
Najua watasema mengi
Ila tafadhali achana nao
Si unajua hawapendi?
Lengo lao ooh
huhuhuuuuu nimekuja kipenzi na masikio nimeweka pamba siwasikilizi nakusikia weye tu..
 
Back
Top Bottom