Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

Mimi kilikuta baada ya kukutana na mdada aliyetoka Dar kuja Arusha akosea namba du kwanza kwa weusi wangu tu na alipoona bichwa kama ya Jiwe hakutamani kuongea nami hadi nikamwonea huruma nkampa tu nauli nkamwambia nisamehe juu Sio kosa langu
 
Yaliyokusibu wewe ndio yalinikuta mimi ilikuwa 2011 tukaahidiana tukutane mitaa ya isamilo aisee nilichokutana huko ni shida jimama kubwa halafu sura nzito kama giariva ya fiat nilikata mitaa nikatokea milongo huyoo masikani sitarudia tena kushobokea namba kama hizo
Mimi wangu alitoka moshi aise sikuamini allikuwa mzuri sana na tuliprndama sana
 
Ni kama sijakuelewa
Nilimuaga mama watoto naenda kuonana na wadau wenzangu ili hali najua naenda kuonana na mtoto mzuri nafika huko nakutana na jimama hata halieleweki nilkata kona nikajikuta niko milongo
 
  • Thanks
Reactions: lup
Nilimuaga mama watoto naenda kuonana na wadau wenzangu ili hali najua naenda kuonana na mtoto mzuri nafika huko nakutana na jimama hata halieleweki nilkata kona nikajikuta niko milongo
Mirogo ya mbugani hapa
 
Hahahahaha.... pole ilifaa mkutane isamilo shulenk hapo hakuna kukimbia
 
Back
Top Bottom