Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Unanichekesha sana raymundo
Kwa nini?
We si umeshaamua kutubagua maandunje! Hatuna namna tena, ni kutafuta maandunje wenzetu.
Unanichekesha sana raymundo
Mpe basi kazawadi jamani hata angalao kamorning glory kamoja!Una roho ya peke ako mkuu
Vyovyote tu bae, Midadi ikipanda huwa sielewi mimihahahahhahaha down au beside😉😉
NshampaMpe basi kazawadi jamani hata angalao kamorning glory kamoja!
Watu mna mbinu kali sana za kuita watu pm!![emoji4][emoji4][emoji4]Asante Shunie. Nililelewa na kusomeshwa na single mom tena kwa eka moja ya pamba kila mwaka ili nipate karo ya shule. Makuzi haya ndo yamenifanya niwe hivi nilivyo na heshima na upendo wangu kwa wanawake haumithiliki. Mambo yalipobadilika kwa yule mama nilianza kujiuliza vipi angekuwa ni mamangu, dada au rafiki? Na maisha yetu hapa duniani ni nini kama hatuwasaidii binadamu wenzetu wanaosumbuliwa na magonjwa na madhila mengine ya umasikini? Na hii ndiyo dini ya kweli ati!
STUNTER anakusalimia sana![emoji4]hongeraaaa endelea mkuu wako wengi humu wenye vigezo.
hahahahahahahVyovyote tu bae, Midadi ikipanda huwa sielewi mimi
teheteheteh[emoji23][emoji23][emoji23]ulimfuata bana! !ebu Tema mate chini
nko nae my dear, wewe umemuona wapi?STUNTER anakusalimia sana![emoji4]
What a wonderful humble shemeji!......Thank you God for giving me such kind of Shemeji![emoji4]Ina maana humu wote nyie ni wazuri?Kila mliokutana nao ni wabaya?Aisee wabaya tuna kazi
Yes dogo. Ndio maana nimejikuta nacheka kama vile natekenywa.
Pole mkuu.teh teh
Nimemuona kule chitchat akiwa na kimwana wa ukweli!nko nae my dear, wewe umemuona wapi?
Mimi huwa nikiwasiliana na mtu kwenye mtandao. Zaidi ya wiki maana yake nimemwelewa. Hata itokee atakuja yupo chongo sijui aje mimi huwa simwoni kama ni mbaya. Kwa sababu uzuri wa mtu si kitu cha muhimu mtu awe anajielewa. Tutaendelea kuwa marafiki
Kwa hiyo unanicheka na ubaya wangu ama?What a wonderful humble shemeji!......Thank you God for giving me such kind of Shemeji![emoji4]
ukajisafishe hatutaki fangasiKama unavyonuka wewe
Nimetembea tembea bara na visiwanihaaa Behaviourist, nimeshakuambia una vibehaviour fulani ujue? sitaki kufa na BP, sijui SHELI bhana niache.
STUNTER njoo useme ukweli
Behaviourist njoo uone menyeweNimetembea tembea bara na visiwani
Ila nikajionea we ndo my number one
Natamani nikupe ila sina ah
Nimejaliwa upendo, eshima ah
Maneno yao matamu yasikuibe mama Si
unajua binadamu wabaya sana Wana wivu hao Hao hao Wachonganishi hao
Hao hao
Wana wivu hao Hao hao
Wachonganishi hao Hao hao
Usije niacha kwa unyonge
nachechemea Utamu wa finyango na tonge ukanihelemea
Usije niacha kwa unyonge nachechemea
Utamu wa finyango na tonge ukala
kwangu....