Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,338
- 25,177
2012, baada ya kichati na binti mmoja tukapanga tukutane, sasa mimi nikajificha mahali ili asiweze kunitambua ila mimi nimtambue kabla!
Lahaula alipofika macho yangu hayakuamini maana alinipigia simu kashafika nikamuona kweli mtoto alikuwa mzuri aisee, kizuri aliamua kufanya suprise akabeba matunda, mkate, blueband, mazaga mengine ya kula hata sikuwa nayajua kitu ambacho kilinishangaza kidogo kwa kweli maana hiyo hutokea kwa nadra sana!
Hadi leo hii ni mtindo wa suprises me na yeye...