jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
hongeraaaa endelea mkuu wako wengi humu wenye vigezo.ha ha ha Mkuu kweli kabisa natafuta mke
hongeraaaa endelea mkuu wako wengi humu wenye vigezo.ha ha ha Mkuu kweli kabisa natafuta mke
Ulikua unataka kumpa papuchi ya surprise nini?Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Mkuu kwani wewe huna au mimi ndio sina kwako?hongeraaaa endelea mkuu wako wengi humu wenye vigezo.
Vp ile amri ya sita mlifanikiwa kuivunja?Kwangu ipo tofauti kidogo..
Kwa mara ya kwanza nameet na yule manzi, ilikuwa 2009 pale kigogo mbuyuni. Hakika alikuwa binti mrembo mwenye weupe asilia, mrefu macho yake kama ananikonyeza vile!.. Nilifurahi sana kumuona nae pia alionyesha furaha pia, nawasiliana nae mpaka kesho..
mimi ninae jamani na unamjua.Mkuu kwani wewe huna au mimi ndio sina kwako?
simjui Mkuu labda ututambulisha shemej tumjue ili tuache kuhangaika huko Pmmimi ninae jamani na unamjua.
mimi ni mmbaya kama wewe usijaliIna maana humu wote nyie ni wazuri?Kila mliokutana nao ni wabaya?Aisee wabaya tuna kazi
kweli uko mbioni mkuumimi ni mmbaya kama wewe usijali
haaaa usiniambiehuyo ni muhuni tu anakudanganya nakwambia. shauri yako wewe
Asante mbaya mwenzangumimi ni mmbaya kama wewe usijali
ni huyu WambekeBae nimekuja resi na mkuki mkononi,
Vipi kuna mtu anakuzingua malkia wangu?
Wee muache tu,ni huyu Wambeke
Umeona eeh? nipe Sapoti tukweli uko mbioni mkuu
sawaUmeona eeh? nipe Sapoti tu
Bora tupendana sisi ma Remmy achana na hawa warembo wa DuniaAsante mbaya mwenzangu