Ilikuwaje baada ya kukutana nae Live? Yaani face 2 face..

Uyui HB

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
553
Reaction score
512
Nakumbuka ilikuwa 2004,, pind nasoma,, Form,,6 Sengerema,, sec,,Mwanza,, Ndipo Nikaamua kukutana live na Binti,, live Mwanza mjini na binti aliye kosea,, Namba na kunipigia kwenye cm yangu,,ya Philips,,JAMAN,,sijawahi Mbaya mbaya kama huyo,,Et Nilikuwa nimebeba na Marafiki zangu,, Si unajua Kama mnarudi Likizo Nyumbani,, unakuwa na Rafiki,,Ilibidi Nijifiche hapo,tu bandari ya kwenda Bukoba,,Maana hiyo siku ilikuwa siku ya Meli na Kwetu ni Siku ya Treni,,, Kwa kweli nilijifunza mpaka Leo sijawahi shobokea Demu aliyokosea na kunipigia hata kama ana sauti nzuri vipi,,,Hebu Niambie Kama Dada ulifanyaje? Na kama Kaka ulifanyaje? Maana nilijuta hiyo siku,,
 
Yaliyokusibu wewe ndio yalinikuta mimi ilikuwa 2011 tukaahidiana tukutane mitaa ya isamilo aisee nilichokutana huko ni shida jimama kubwa halafu sura nzito kama giariva ya fiat nilikata mitaa nikatokea milongo huyoo masikani sitarudia tena kushobokea namba kama hizo
 
Kuna mmoja alikosea mpaka leo tunawasiliana but sina mpango wa kumshobokea hata mara moja kwanza siwazi kabisa coz najua effect za kuwasiliana na mtu usiyemfahamu ukitaka kufanya hivyo utarudi na boxer na siyo suruali be care for that!
 
Yaliyokusibu wewe ndio yalinikuta mimi ilikuwa 2011 tukaahidiana tukutane mitaa ya isamilo aisee nilichokutana huko ni shida jimama kubwa halafu sura nzito kama giariva ya fiat nilikata mitaa nikatokea milongo huyoo masikani sitarudia tena kushobokea namba kama hizo
Haahaah umenichekesha mkuu ata umu utakutana nao [emoji23] [emoji23]
 
Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ulimfuata bana! !ebu Tema mate chini
 
Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Sasa Mkuu ukamkimbia mdada mwenzako? si ndio ulikua umepata shost?
 
Back
Top Bottom