Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,318
Arushe ndoano ya mwisho samaki kajiletaAshakujibu huyo! Tumesikiaaaa
Arushe ndoano ya mwisho samaki kajiletaAshakujibu huyo! Tumesikiaaaa
Jf kuna visu wew adikudanganye mtuahaaaaa hata humu jf natamani tujuane kwa sura maana watu kila siku wanapiga kelele kuwa alichotegemea kukutana nacho sicho! ahaaaaaaa jf raha
Lakini ci mlikula vya andunje!Mimi mtu alikosea namba akasema haina neno tuwe marafiki basii kuna kipind mm nikaenda musoma na yy yupo huko nilijutaa kumuona mwanaume andunje mfupii mnoo na mm nilienda na watu wawili mm wa tatu walichekaa rafiki zangu tupoondoka hatukurud tulikula na kunywa tukaaga kurud hakuna alierud
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] waooo!!!Shukra kubwa kwa Kipindi cha kutafutana Radio ONE ilikua mwaka 2003 binti anamtafuta baba yake kaweka namba hewani,nikampigia kujifanya kumpa pole na fix za huruma hapa na pale.
Nilikutana nae 2004 Arusha, nikafunga nae ndoa 2006 hadi Leo niko nae tuna watoto watatu firstborne yupo darasa la nne.
Kama alikua nzuri au mbaya hiyo ni siri yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nasema Ahsante KWA MUNGU maana ilikua kama filamu.
Nikampiga mkwara sitaki tena kusikia unamtafuta baba yako.
Eehh mwanamke kujiamini, otherwiz utabuluzwa ka gar bovu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimependa unavyojiamini
Hehehee na nilivyo mbaya sasaCpat picha kama ukikutana na Shunie unaweza kukataaa
[emoji28][emoji28] na nilivyo mbaya sasaCpat picha kama ukikutana na Shunie unaweza kukataaa
Haya dadaEehh mwanamke kujiamini, otherwiz utabuluzwa ka gar bovu
Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
Teh teh. KaribuNaomba na mimi tuchati
Ushaanza sasa uchokozi wako. Na Mimi nimemiss halafu nampendaga yule mkorinto
Ushaanza sasa uchokozi wako. Na Mimi nimemiss halafu nampendaga yule mkorinto
Nilijua tayari ushanyooka. Kumbe bado? Basi ngoja ninyooke badala yakoKwa hiyo niendelee kunyooka?
Nilijua tayari ushanyooka. Kumbe bado? Basi ngoja ninyooke badala yako
[emoji4]Hhahahahaahah🙂🙁🙁🙁🙁
nimekuelewaMimi huwa nikiwasiliana na mtu kwenye mtandao. Zaidi ya wiki maana yake nimemwelewa. Hata itokee atakuja yupo chongo sijui aje mimi huwa simwoni kama ni mbaya. Kwa sababu uzuri wa mtu si kitu cha muhimu mtu awe anajielewa. Tutaendelea kuwa marafiki
Wewe je?nimekuelewa