Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Ina maana humu wote nyie ni wazuri?Kila mliokutana nao ni wabaya?Aisee wabaya tuna kazi
Hata mimi ni mbaya tu, usijali
Ina maana humu wote nyie ni wazuri?Kila mliokutana nao ni wabaya?Aisee wabaya tuna kazi
Duh, mkuu! Nina wasi wasi wewe ukawa classmate wangu! Haya majina feki haya, khaaa![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nakumbuka ilikuwa 2004,, pind nasoma,, Form,,6 Sengerema,, sec,,Mwanza,, Ndipo Nikaamua kukutana live na Binti,, live Mwanza mjini na binti aliye kosea,, Namba na kunipigia kwenye cm yangu,,ya Philips,,JAMAN,,sijawahi Mbaya mbaya kama huyo,,Et Nilikuwa nimebeba na Marafiki zangu,, Si unajua Kama mnarudi Likizo Nyumbani,, unakuwa na Rafiki,,Ilibidi Nijifiche hapo,tu bandari ya kwenda Bukoba,,Maana hiyo siku ilikuwa siku ya Meli na Kwetu ni Siku ya Treni,,, Kwa kweli nilijifunza mpaka Leo sijawahi shobokea Demu aliyokosea na kunipigia hata kama ana sauti nzuri vipi,,,Hebu Niambie Kama Dada ulifanyaje? Na kama Kaka ulifanyaje? Maana nilijuta hiyo siku,,
Shukra kubwa kwa Kipindi cha kutafutana Radio ONE ilikua mwaka 2003 binti anamtafuta baba yake kaweka namba hewani,nikampigia kujifanya kumpa pole na fix za huruma hapa na pale.
Nilikutana nae 2004 Arusha, nikafunga nae ndoa 2006 hadi Leo niko nae tuna watoto watatu firstborne yupo darasa la nne.
Kama alikua nzuri au mbaya hiyo ni siri yangu.
Tembea na kisturiHa ha ha, ndo hivyo, sasa sijui sisi wafupi mnataka twende wapi. Bora hata kitambi naweza fanya diet kikaondoka, ufupi nitaufanyaje?
Nasema Ahsante KWA MUNGU maana ilikua kama filamu.Hongera sana mkuu
Nimependa your word jamanihuwa hakuna mtu mmbaya ni lugha tu inakuaga ngumu mtu aseme sikuridhika na vile alikuwa sio kusema alikuwa mmbaya khaaa hamna mtu mmbaya
Wee second chance sasaBhasi na mie nimo
Shemeji ulivyo na miguu mizuri mungu anakuona!!Kwa hiyo unanicheka na ubaya wangu ama?
Hapo Sengerema Sec ndo umefundishwa kuweka ,, kwa ajili ya nafasi kati ya neno na neno?Nakumbuka ilikuwa 2004,, pind nasoma,, Form,,6 Sengerema,, sec,,Mwanza,, Ndipo Nikaamua kukutana live na Binti,, live Mwanza mjini na binti aliye kosea,, Namba na kunipigia kwenye cm yangu,,ya Philips,,JAMAN,,sijawahi Mbaya mbaya kama huyo,,Et Nilikuwa nimebeba na Marafiki zangu,, Si unajua Kama mnarudi Likizo Nyumbani,, unakuwa na Rafiki,,Ilibidi Nijifiche hapo,tu bandari ya kwenda Bukoba,,Maana hiyo siku ilikuwa siku ya Meli na Kwetu ni Siku ya Treni,,, Kwa kweli nilijifunza mpaka Leo sijawahi shobokea Demu aliyokosea na kunipigia hata kama ana sauti nzuri vipi,,,Hebu Niambie Kama Dada ulifanyaje? Na kama Kaka ulifanyaje? Maana nilijuta hiyo siku,,
Haaaa, mm nilikua na chat na bibie flan. Niliiba namba yake kwenye group flan la whatsapp.
Tukaanza kuchat mara kuongea, kuonana, nilistuka sana. Kiukweli sijawahi kuona binti mrembo kama yule, akaniambia Mora amemuonesha mm ndio mme wake.
Nikatuma majeshi anaposoma, anapofanya kaz na anapokaa, wakaleta taarifa yupo Poa.
Mwaka huu tunafunga ndoa baada ya kukaa mwaka kwenye mahusiano
Ulijuaje kuwa ni shogaSitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Kwani uko mkoa gani?Hayuko serious nimemfuata MP, ananikana hanijui et
Moja kati ya vitu jf...havitaki ni mambo ya Mp kuleta hukuHayuko serious nimemfuata MP, ananikana hanijui et
Ni PM...Jamie nione kama kweli uko seriousHayuko serious nimemfuata MP, ananikana hanijui et
Hahahahaha....Sitaki kukumbuka, kuna mkaka nilikuwa nachat nae fb, sasa nilisafir kwenda mkoa furan for my own issues koz na yy yupo huo mkoa so ikabidi tuonane, jmn mm nikawa upande wa pili wa barabara sasa anakuja anavyovuka sasa anakimbia ka mdada, ile kunifikia kumbe ni shoga...lol nilidelete namba ake siku ile ile
Weeehh yan anakupa M...uhhhhh sio mimi loh, sasa mnasbir nn kuoanaMimi miaka kama minne hivi au mitano..kuna Dada mmoja wa moshi pia ni mwalimu wa sec...alikosea namba kwa smc... Niko elimu ya watu wazima nimechoka mbaya. Tukaendelea kuwasiliana kama miezi mitano...akaamua kuja kwa gharama zake hadi Mwanza..aisee ni mzuri yaani Toto la kichanga na ndio homa wangu.alipitia Dodoma baada ya kutoka tanga...alipofika mida ya SAA NNE hivi tukaenda hotelini.tukapinga shoo ya hatari kama siku tatu na gharama zote zake,baada ya hapo mimi nilienda rombo kwake kwa mda wa wiki mbili...haikupita mda akachukuwa mkopo akanipa milioni moja nikaanza biashara....ukweli tunapendana hadi Leo ila sijui kwa nini hatuachi kukosana ili Tuoane kabisa...