Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,496
- 37,789
Huu ndo ukweli, hatuna muda wa kumheshimu mnafiki.Heshima uliokuwa nayo haipo tena mkuu umechuja sana, kwanini usiishauri tume ya uchaguzi ihesabu kura kwa njia ya wazi kama walivyofanya CCM kwenye kura za maoni kuwe na uwazi badala ya mawakala ambao hutishiwa na kufukuzwa? kwani wagombea wa CCM hawakuweza mawakala kwenye kura za maoni? tuache kukengeuka kwa sababu za maslahi badala ya kuliteteaTaifa letu.