Ushauri ili CCM ishinde uchaguzi 2025...

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,393
9,673
Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia.

1. Samia azidishe asali kwa wapinzani.
2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru.
3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa.

Ni hayo tu.
 
Vyombo vya ulinzi na usalama (jeshi, usalama, polisi) vipo upande wa ccm, hasa polisi.
Kwa hiyo Wataiba kura, na watashinda kwa KISHINDO.
 
Ccm inajipanga kwa kampeni, na haihitaji msaada wa upinzani, upinzani watapigwa home and away
 
CCM itakuwa na kazi kubwa sana ili ishinde wajipange kisawasawa. Viti vingi vya Ubunge vitaenda kwa wapinzani. Sheria ya Uchaguzi usipoboreshwa CCM itaangukia pua. CCM inatakiwa kuwa maaakini sana. Time will tell.
 
Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia.

1. Samia azidishe asali kwa wapinzani.
2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru.
3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa.

Ni hayo tu.
Kwa kuwa hayo yote hayawezekani,

CCM ibadili Mgombea. Ije na mtu mpya.
 
Back
Top Bottom