shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,515
duh kuna mmoja alishikwa,mwalimu akataka k amchomoe akampa na akamchukua na video ,mwalimu alivyozingua akaipeleka ile video kwa mjema, duh jamaa ndo basi tena akafukuzwaNashukuru hakuwahi kutufundisha. Alisababisha rafiki yangu ahame chuo maana alimshika halafu akaleta zile zake zileeeeee. Rafiki yangu akaona upuuzi arudie mwaka halafu mwalimu yule yule bora ahame tu
