enky
Senior Member
- Aug 30, 2011
- 123
- 142
Ukiwa ulipita pale utaijua tu mkuuscreen saver ni zipi mkuu!?/
Ukiwa ulipita pale utaijua tu mkuuscreen saver ni zipi mkuu!?/
KweliiLife after IFM is better, sijawah kukutana na IFM product kapaukapauka kifala mtaani wengi wanaishi quality life kulinganisha na product kama za UDSM au UDOM nk graduate lakn wanapauka kifalafala mtaani
screen saver ni zipi mkuu!?/
Eneo la kuingilia IFM opposite na geti la makumbusho,screen saver ni zipi mkuu!?/
Umemaliza mwaka gani pale?Tupo tupo bwana shemeji
Meona eeehLife after IFM is better, sijawah kukutana na IFM product kapaukapauka kifala mtaani wengi wanaishi quality life kulinganisha na product kama za UDSM au UDOM nk graduate lakn wanapauka kifalafala mtaani
SureIFM hamna wajingawajinga
Tupo hatukuona uzi aiseHaahaah JF hakuna waliosoma IFM
Hahaha ndio maana mkaambiwa huu uzi ni wa waliosoma IFM.screen saver ni zipi mkuu!?/
Nasikia waalimu wa IFM wanawalala sana wanafunzi pale IFMIFM nimekula sana totozi pale
Tupo tupo bwana shemeji
Hahahaha mnajifanya mnakinga maji?Sisi wengine camp yetu ilikuwa nyuma ya block D, mwendo wa kusmoke tu
Hakuna chuo wanafunzi hawaliwi na walimu aise. Sema IFM kuna mwanafunzi alikuwa analiwa anatuletea pepa sisi ni kumchangia pesa.Mimi nili disco IFM ila nimetoka kimaisha.
Nasikia waalimu wa IFM wanawalala sana wanafunzi pale IFM
Nyie kaimbeni ule mziki wenu maarufuHahahaha vipi sisi wa EFM?
hahahaHakuna chuo wanafunzi hawaliwi na walimu aise. Sema IFM kuna mwanafunzi alikuwa analiwa anatuletea pepa sisi ni kumchangia pesa.
Watoto wa mjini walikuwa hawadisco aise.... Ukiona kadisco ujue ana mishe ya kumuingizia pesaMimi nili disco IFM ila nimetoka kimaisha.