Ifakara: Dr. Slaa Hakusalimiana na JK! Kwanini?

Kitu ambacho sijakielewa ni kwa nini baadhi ya mashabiki wa JK na CCM wanaona kuwa JK anamiss kitu kwa vile Dr. Slaa hajapeana naye mkono? Kwa nini wanasubiri kwa hamu hilo litokee? Kwani JK amegeuka sanamu ya Nebukadneza?
Part of it ni guilty consciousness, Dr alishashindwa kutake advantage of the whole situation, badala yake Dr mwenzake anampiga mabao tu hadi ya visigino.

Politics ni kamchezo kengine flani hivi kenye kuhitaji timing flani hivi na maamuzi flani flani pia...
 
Kuna watu walienda Ifakara sio kwa ajili kuzika bali kushughudia Dr. Slaa akimpa mkono Rais Kikwete. Matokeao yake wakaula wa chuya. Na posho walipewa. Imagine mpaka mtu analazimika kupanda juu ya kaburi la marehemu ili kuipata tuu hiyo picha. Very deplorable.

Nimeweka hapo juu video ya speech ya Dr. Slaa aliyoitoa pale Karimjee na kuuliza kama hamtambui Rais Kikwete, mbona alianza speech yake kwa kusema "Mheshimiwa Makamu wa Rais?" Ni Makamu wa "Rais" yupi anayemtambua Dr Slaa?

Vipi kama Kikwete angehudhuria Karimjee, Dr Slaa asingeanza speech yake kwa kusema "Mheshimiwa Rais"? Au angegoma kutoa speech? Au asingehudhuria kabisa?
 
Kama ni kweli this stuff is coincidence, then nataka ni bet na mtu kuwa hawatakaa wapeane mikono hadi 2015, whos's ready and willing for the bet?

Laki moja tshs?
Mkuu jmushi1, kwa vile niliongea na Dr. Slaa na mara ya pili nikaulizia sababu ya kutokwenda Ikulu, alinithibitishia no any delibarate efforts za kutosaliniana and he was genuine!.

Kwa mtaji huu wanaweza kusalimiana anytime wakikutana hata keshokutwa kwenye msiba wa Sumari!.
 
This time usipande kwenye kaburi la marehemu kwa ajili ya kutafuta picha ya Dr Slaa akipeana mkono na Rais. Sio Fair and doesn't make you a great photographer.
 
Mmmh.. naomba nipate tafsiri sahihi ya 'salamu' first then tupate points ktk mada please
 
Mkuu jmushi1, kwa vile niliongea na Dr. Slaa na mara ya pili nikaulizia sababu ya kutokwenda Ikulu, alinithibitishia no any delibarate efforts za kutosaliniana and he was genuine!.

Kwa mtaji huu wanaweza kusalimiana anytime wakikutana hata keshokutwa kwenye msiba wa Sumari!.
Ungemuuliza na JK pia kama nae anatamani kukutana na Dr Slaa. Hivi pale msibani kwa nini JK hakusubiri kidogo ili wakutane na Dr Slaa au angeweza kuomba wenyeji wake (Mbowe etc) wamwitie ili amsalimie!

Wakati mwingine huwa nahisi pengine ni bora tu Dr Slaa akajiweka mbali...maana anaweza kujitia kimbelembele cha kumsogelea Rais halafu wale "jamaa" wakapata nafasi ya kummaliza.....halafu utasikia oooh...tumemkuta na bastola or similar blah blah!
 
Kusalimiana salimiana kila wakati kila mara katika kila tukio ni kukosa kazi na ni dalili za umasikini na ujinga.
 
Kusalimiana salimiana kila wakati kila mara katika kila tukio ni kukosa kazi na ni dalili za umasikini na ujinga.
 
This time usipande kwenye kaburi la marehemu kwa ajili ya kutafuta picha ya Dr Slaa akipeana mkono na Rais. Sio Fair and doesn't make you a great photographer.
EMT, taking it personal is taking it out of context...
 
Jmushi advantage gani? Kikwete tayari rais na hakuna wa kumnyang'anya hilo so kwa nin ni muhimu kwake kuonekana na Slaa hadharani? Wakionekana wanapeana mkono na kukumbatiana hadharani itamwongezea nini rais ambacho hana sasa hivi?
Advantage ya kwamba yeye ndo alishinda uchaguzi na kwamba siyo yeye naye mkacha mwenzake?

Nimekupata kabisa mkuu, ila usisahahu kuwa in politics kuna symbollysm if i may, ie a photo can speak millions of words that you cant even imagine!

Umesahau kuwa nchi inasemekana haitatawalika?

Ama mnachagua baadhi ya dots lol!

Otherwise nimewapata, ila hilo la kuisema ni conincidence nawaachia wale watakao kwenda kwenye huo msiba wa Sumari.

I am still in for the bet lol!
 
Part of it ni guilty consciousness, Dr alishashindwa kutake advantage of the whole situation, badala yake Dr mwenzake anampiga mabao tu hadi ya visigino.

Politics ni kamchezo kengine flani hivi kenye kuhitaji timing flani hivi na maamuzi flani flani pia...
Mkuu jmushi1, kuna kitu kinaitwa political social dynamics ambacho kinahitaji na political stategist wazuri kukipangia timing. Kila event ikitokea kwao ni political opportunity hivyo they plan how to capitalize on such opportunity!.

Kwenye huu msiba wa Regia, JK alishakwenda nyumbani kutoa pole!. That was enough. Then JK alikuwa na ziara Morogoro iliyokuwa inamalizika Jumanne.

Hivi mnazijua sababu za msiba wa uliotokea kati ya Dar na Moro na mazishi ni Moro to take 5 days arrangements?. Kwanini mambo yote ya Dar yasingemalizika ile ile Jumatatu?. Baada ya mwili kuagwa nyumbani na misa pale Tabata ulitakiwa uende Karimjee jioni ile uagwe na kusafirishwa ili Jumanne tuzike!. Ile extra day ilikuwa ni ya nini?!.

CCM wanajua walichomfanyia Regia kwenye uchaguzi uliopita. Taarifa za kiinteligencia zinajia political mood ya wana Kilombero hivyo maada kumetokea msiba maziko ni Moro, na rais anamaliza ziara Moro Jumanne, ma political stategists wakaona there is a political opportunity na waka capitalize kwa kuinfluence tarehe ya maziko na Mkuu akatia timu!.

Pamoja na huzuni na majonzi ya kuondokewa na Regia, JK amejitoa kiukweli to offer Olive brach kwa Chadema kutibu makovu ya uchaguzi uliopita na kuipunguza ile insult added to an injury ya kuusaini ile sheria ya katiba hivyo presence ya JK ni significant na strategic!.

Kwa vile nimeongea na Dr.Slaa na kuthibitisha no ill intention ya kukwepa kusalimiana na JK, then opportunity itatokea ya kuuthibitishia umma wa Watanzania kuwa political diferences sio political enemity!. Watakutana na watasalimiana!.
 
Niliwaambia hii isssue juzi wakabisha, wakadai hayo ni mazishi tu wala hakuna politics, sasa imagine kama wangejipanga baada ya kusikiliza ushauri.

All in all, wasikilize ushauri wasisikilize, when it cost them, it just does and there is no any other way around it, kuna watu wanaosomea siasa na kuna ambao iko kwenye damu lol!

Si kila mtu mwenye kuelewa mambo ya siasa, wengine bakini tu huko Chit Chat lol!

Wengine Viazi, sorry kazi kweli kweli!
 
This time usipande kwenye kaburi la marehemu kwa ajili ya kutafuta picha ya Dr Slaa akipeana mkono na Rais. Sio Fair and doesn't make you a great photographer.
No prob EMT, matajiri wa Moshi na Arusha hawazikwi makaburi ya public, wao wanazikwa mashambani mwao kwenye makaburi ya ukoo hivyo hakutakuwepo kaburi la kupandia!.
 
Hivi JK kuhudhuria mazishi ya Mh. Regia Ifakara kumemuinua sana yeye binafsi, ccm na serikali yake mbele ya macho ya waTanzania?
 
Jmushi ni nani angefaidika kisiasa kati ya Slaa na Kikwete kama wawili hao wangedalimiana on camera? Na ingekuwa faida gani?
 
Back
Top Bottom